Magufuli huku, Kikwete kule

MFUMO wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ulioanzishwa kwa mbwembwe na serikali ya Rais Jakaya Kikwete miaka michache iliyopita, sasa unaelekea kufumuliwa na pengine kuzikwa kabisa, Raia Mwema limeambiwa. Ingawa serikali ya Kikwete ilitumia gharama kubwa za kifedha na rasilimali watu katika kuusimamisha mfumo huo, gazeti

Korea Kaskazini yatishia kuizamisha meli ya Marekani

Tokyo (CNN) KOREA Kaskazini jana Jumapili ilitishia kuizamisha meli ya Marekani ambayo imeanza mazoezi ya pamoja na meli za kivita za Japan katika bahari ya Pasifiki. Meli ya USS Carl Vinson itaungana na zile za Ashigara na Samidare katika mazoezi ya mbinu katibu na Ufilipono,

Mwalimu mbaroni kwa kumuua mwanaye mwenye tabia ya kuchelewa kwa viboko

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mwalimu Emmanuel Warioba (26) wa Shule ya Msingi Mwamakoye kwa tuhuma za kumuua mwanaye anayefahamika kwa jina la Sifael Emmanuel (8). Sifael Emmanuel alikuwa mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule hiyo iliyopo wilayani Kwimba, mkoani Mwanza. Kamanda wa