Makala

[1,719]
Toleo 292
Lula wa Ndali Mwananzela
KUNA una wakati unaweza ukasema umeishi na kuona kila kitu; halafu mengine yanatokea. Katika mambo ya ajabu ambayo yametokea wiki iliyopita kwenye sherehe za Muungano ni kuwa Rais Kikwete amewatunuku maafisa mbalimbali wa jeshi (na watumishi wengine) nishani na tuzo mbalimbali.
[1,008]
Toleo 292
Ahmed Rajab
JULAI 5, 1969 saa kama kumi na nusu hivi za Alasiri zilinikuta nikiingia hoteli iitwayo Westbury katika eneo la Mayfair jijini London
[833]
Toleo 292
Privatus Karugendo
KATIBA ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya Mwaka 1977, inasema: “Bunge kitakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa  mujibu wa Katiba hii.”
[705]
Toleo 292
Willy Mutunga
NILIKUWA mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya sheria katika Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 1968 hadi mwaka 1971.
[547]
Toleo 292
Johnson Mbwambo
WIKI iliyopita tulishuhudia bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2013/14 ikiondolewa bungeni na kurejeshwa katika wizara hiyo ili irekebishwe na kurudishwa tena bungeni mwanzoni mwa wiki hii
[453]
Toleo 292
Maggid Mjengwa
KAMA kuna kipindi muhimu kabisa cha Watanzania kutengeneza mustakabali wa nchi yetu, basi ni hiki. Kipindi cha kuelekea kwenye kuandika Katiba yetu mpya
[343]
Toleo 292
Hidaya
Lakini hapa … sijui nikuelezeje mpenzi.  Ama kweli watu wakubwa hawarekebishiki!  Si wiki jana Bosi akatoa tusi hadi hata Mama Bosi akazinduka na kufoka hadi Bosi aliikimbia nyumba.  Lakini wiki moja tu imepita ameanza tena.
[5,700]
Toleo 291
Johnson Mbwambo
NILIPATA huko nyuma kusimulia jinsi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, alivyoshtushwa na aina ya viongozi wa CCM aliokutana nao huko mikoani miaka i
[1,792]
Toleo 291
Msomaji Raia
VIROJA ndani ya Bunge vinaendelea huko Dodoma. Minyukano imeshamiri na kuzua gumzo kila kona. Minyukano ya mabunge yote duniani huwa ni kati ya upande wa serikali na upande wa wabunge wote bila kujali itikadi zao
[1,142]
Toleo 291
Francis Chirwa
MKUU wa Shule ya Sekondari ya Busilikya, Regidios Nestory, hashangai shule yake kushika mkia mkoani Kagera katika matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana
[1,050]
Toleo 291
Lula wa Ndali Mwananzela
GARIMOSHI la Katiba mpya linaendelea kwenda kasi na hakuna dalili ya kukoma mpaka Katiba “mpya” itakapopatikana
[847]
Toleo 291
Ahmed Rajab
SIASA hazina adabu.  Na zenye utovu mkubwa wa adabu ni zile za madola ya Magharibi zenye kuhusika na maingiliano ya madola hayo na nchi kama za kwetu
[717]
Toleo 291
Mwandishi Wetu
HALI si shwari katika kiwanda maarufu cha kutengeneza viberiti  na karatasi cha Kibo Match Group cha mjini Moshi  kutokana na hatua ya Mamlaka ya Mapato mkoani Kilimanjaro (TRA) kuyakamata magari saba ya kiwanda hicho kwa madai ya ukwepaji  Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) inayokadiriwa kufikia shilingi bilioni moja
[714]
Toleo 291
Hidaya
We ngoja tu mpenzi!  Kwa kuwa tunaruhusiwa kuruka viunzi vyote vya elimu feki sekondari, mimi nitajiunga chuo kikuu kesho kutwa?  Unafikiri utani? Hata kama ni mpango wa kupitisha mambumbumbu wa vigogo potelea mbali. 
[673]
Toleo 291
Maggid Mjengwa
CHARLES Montesque ni mwanafalsafa mkongwe aliyezaliwa mwaka 1689 nchini Ufaransa. Ndiye  aliyejenga hoja ya kuwa na dola yenye mihimili mitatu huru

Pages