Michezo

[130]
Toleo 295
Hafidh Kido
Winga machachari wa soka nchini, Mrisho Khalfan Ngassa ambaye Jumatatu wiki hii alitambulishwa rasmi kwa wapenzi wa Yanga, amezua mvutano mkubwa kati ya klabu hiyo na Simba, aliyoichezea katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyomalizika hivi karibuni
[79]
Toleo 295
Mwandishi Wetu
MCHEZO uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini ulimalizika kwa kimya kizito baada ya kilichotarajiwa kutokea kukamilika kwa asilimia kubwa
[300]
Toleo 294
Hafidh Kido
MABINGWA wa Soka Tanzania Bara msimu huu, Yanga wameonekana kurudia matapishi yao baada ya kujitapa kwa kipindi kirefu kuwa hawatoweka kambi katika maandalizi ya mpambano na mpinzani wao mkuu, Simba, kwenye mechi ya kufunga msimu Mei 18, mwaka huu
[1,062]
Toleo 292
Mwandishi Wetu
AFYA na maslahi ya nahodha wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Jella Mtagwa, yametikisa Bunge.
[486]
Toleo 292
Mwandishi Wetu
MICHUANO ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, inafikia tamati Mei 18 ikiwa tayari bingwa ameshajulikana na timu itakayoshika nafasi ya pili pia imeshajulikana, kivumbi  kiko kwenye timu tatu zitakazoshuka daraja
[359]
Toleo 292
Hafidh Kido
MCHEZO wa marudiano wa raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Barani Afrika kati ya Azam FC ya Tanzania na FAR Rabat ya Morocco utachezwa Jumamosi hii saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki katika mji wa Cassablanca nchini humo
[635]
Toleo 288
Hafidh Kido
Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Amos Makala, amewataka watanzania kuacha ushabiki kama wa Simba na Yanga na badala yake waishangilie kwa nguvu Azam FC katika mchezo wao wa jumamosi dhidi ya Barrack Young Controllers ya Liberia
[547]
Toleo 288
Hafidh Kido
Polisi Morogoro imevuruga matumaini ya Yanga kutangaza ubingwa wa Soka Tanzania Bara wakiwa na mechi mkononi baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo uliowakutanisha jumamosi iliyopita mjini Morogoro katika uwanja wa Jamhuri
[1,422]
Toleo 285
Hafidh Kido
[795]
Toleo 285
Hafidh Kido
WANAUME wengi wanaojishughulisha na Muziki wa Taarab, maarufu ‘Mipasho’ huonekana wamepotea kwa kuchagua burudani inayopendwa na kina
[2,397]
Toleo 283
Mwandishi Wetu
[923]
Toleo 283
Hafidh Kido
WANAOFUATILIA Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara hawatopishana na kauli hii kuwa huu ni mwaka wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam
[3,632]
Toleo 277
Mwandishi Wetu
MALALAMIKO yameanza kujitokeza katika maandalizi yanayoendelea ya michuano ya klabu bingwa Afrika (Afcon) itakayofanyika nchini Afrika Kusini, ambako tayari timu za mataifa yanayoshiriki michuano zimekwishaweka kambi
[2,387]
Toleo 277
Mwandishi Wetu
KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Ghana, Emmanuel Agyemang-Badu, amesema anataraji kutundika mabao ya kutosha katika michuano ya klabu bingwa Afrika, inayotarajiwa kuanza nchini Afrika Kusini
[2,039]
Toleo 277
Mwandishi Wetu
MICHUANO ya mpira wa miguu ya Kombe la Mapinduzi iliyoisha wiki iliyopita katika kilele cha sherehe za mapinduzi mjini Unguja katika uwanja wa Aman, kwa timu ya Azam FC kutetea taji imenipa mwanga mkubwa katika soka la visiwani humo

Pages