UKIPEWA kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu unaishi kihunihuni. Kazi za uhuni ziko tele. Nenda kafanye uhuni wako kule. Kwa hiyo, nchi zote zina miiko. Hapa kwetu hatuna. Wameiacha miiko ya Azimio la Arusha, hawakuweka miiko mingine. Sasa ni holela tu
Walipata Kunena
-
Nyerere na viongozi wahuni
Maoni ya Wasomaji
-
Somo lako nimelielewa sana mzee wangu ULIMWENGU;unachokisema sio kigeni hata kidogo masikioni mwa hawa watawala wetu,lakini imekua kila siku unazungumza wanazungumza tunazungumza lakini hawa wanaot14 hours 8 minYametolewa maoni mengine 5