MPAKA sasa (CCM) hatuko kwenye njia sahihi kwa sababu tumeshapoteza maadili. Baadhi ya sifa za kiongozi bora ni kuwa mcha Mungu na kupambana na rushwa kama alivyofanya Sokoine. Je, viongozi wa sasa wana sifa hizo?
Kaduma na CCM harijojo
Maoni ya Wasomaji
Hii serikali kweli haina huruma na haidhamini wananchi wake. inaelekea GPSA imetekwa na mafisadi papa ambao wanataka kuwanyima fursa wafanya biashara wenye mitaji midogo kujiendeleza.