Mkapa

Mkapa sasa azungukwa

Mwandishi Wetu

MASHITAKA dhidi ya mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona pamoja na Katibu Mkuu wao, Gray Mgonja, yameibua hofu kubwa kwa watendaji wa sasa na wa zamani serikalini wakiwamo na hata Rai

Mkapa hakuzuia mjadala - Msekwa

Mwandishi Wetu
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
KUHARIBIKA wiki iliyopita kwa rada iliyonunuliwa kwa bei kubwa katikati ya nyendo za kifisadi sasa kumeibua lawama kwa Bunge lililopita

Nchi sasa inayumba

Mwandishi Wetu

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Serikali zake vinasukwasukwa kiasi kwamba kuna hofu kwamba kama hali haitabadilika nchi itafika pabaya, imeelezwa.

Chenge, kisha Mkapa

Mwandishi Wetu

KUTUHUMIWA kwa ufisadi na hatimaye kujiuzulu kwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, kumefungua njia ya umma kuhoji uadilifu wa viongozi wa siasa akiwamo Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.

Mafisadi wa EPA ni wezi - Warioba

Mwandishi Wetu

KATIKA kauli ambazo zitawashitua watawala, Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba, amesema nchi ina viongozi dhaifu, umma unanyonywa, rushwa imeongezeka, wezi wa fedha za EPA waanikwe na Rai

CCM yabariki ufisadi

Mwandishi Wetu

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), wiki iliyopita, kilipoza tuhuma zote kubwa za ufisadi zilizowagusa wanachama wake katika hatua inayotafsiriwa kuwa ni kujitoa katika vita dhidi ya uoza huo, Raia Mwema

Nani kama Mwalimu Nyerere?

Mwandishi Wetu
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
SEHEMU kubwa ya viongozi wakuu wa Serikali wamekuwa wakitenda kinyume cha hotuba ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere

Mkapa tusiyemjua: Haongei, anaongelewa

Maggid Mjengwa

"MKAPA kaongea !" Hicho chaweza kabisa kuwa kichwa cha habari katika moja ya magazeti yetu. Naam, katika miaka ya karibuni, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekuwa kimya mno.

Kikwete, Mkapa na ‘talk shops’

Johnson Mbwambo

WIKI mbili hizi Rais wetu, Jakaya Kikwete amekuwa ni mtu bize kweli kweli. Bize akihudhuria mikutano mbalimbali ya kimataifa.

Pages

Subscribe to Mkapa