KWA vile Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba umepitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, muswada huo utatekelezwa mara tu utapomalizika mchakato wa kuufanya uwe sheria kamili.
HUKO nyuma nimeeleza kwamba haiwezekani kuijadili Tanzania pasipo kuujadili Muungano, na kwamba dalili za makundi ya watu kuhoji Muungano wetu kama ulivyo leo zimekuwa zikijitokeza mara kwa mara
KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, tuliona jinsi Waasisi wa Muungano upande wa Zanzibar, wanavyojichanganya juu ya chimbuko na namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulivyofikiwa kudhihirisha kwamba waliburuzwa bila kujua kwa uhakika nini kilichokuwa kikifanyika
NI bahati mbaya sana kwamba kila linapotokea tatizo zito la kitaifa linaloibua mjadala mzito wa Watanzania wote, kinatokea kitu kingine na kupunguza kasi ya mjadala huo.
MIAKA 46 tangu meli ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ing’oe nanga, Aprili 26, 1964 hadi sasa; bado inaendelea kuyumba kwa kusukwasukwa na mawimbi makali na kusababisha adha kubwa, kiz
KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya toleo lililopita, tuliona jinsi Muungano wowote wa nchi uliofikiwa bila ridhaa ya wananchi unavyoweza kuvunjika kwa urahisi
KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya wiki iliyopita, tuliona jinsi juhudi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere za kuunda Shirikisho la kisiasa la nchi za Afrika Mashariki (EAC) zi
UWEZO wa kuongoza watu unaweza kununuliwa sawa na bidhaa yoyote kama vile sukari, na kahawa, na naweza kulipa kiasi kikubwa cha pesa kuununua kuliko ninavyoweza kufanya kwa kitu kingine chochote
Rockefeller na uwezo
Maoni ya Wasomaji
Jamani kama ni kutoa maoni basi toeni kwa kiswahili. Kiingereza gani alichotumia kutoa maoni huyo hapo juu!!! Huo ni ujuha. Kuhusu matokeo, nadhani serikali imelenga kufurahisha wapiga kura.