Mwakyembe

Mabingwa wafichua ‘kemikali’ hatari

Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Taarifa za awali zinabainisha kuwapo kwa 'kitu' kwenye ute ute ndani ya mifupa yake

Siri za Mwakyembe Bandari Dar zavuja

Mwandishi Wetu
Mkurugenzi  Mkuu wa Bandari, Ephraim Mgawe, ambaye amesimamishwa kazi
SIRI zaidi kuhusu uamuzi wa Waziri Mwakyembe, kuwasimamisha kazi baadhi ya viongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari zimezidi kuvuja

Mabingwa wadhibiti ‘kemikali’ za hatari

Mwandishi Wetu
Dk. Harrison Mwakyembe
MADAKTARI bingwa wa India, wamefanikiwa kudhibiti "kemikali" hatari zilizobainika katika ute ute ndani ya mifupa ya Dk. Mwakyembe

Bandari wamzunguka Waziri Mwakyembe

Mwandishi Wetu
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe
WIZI wa kompyuta za kumbukumbu za mafuta, utata wa mkataba, misuguano na visasi vimeanza kutokea ndani ya Mamlaka ya Bandari

Kizungumkuti Dowans

Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete ametofautiana na kauli ya Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, akikubaliana na wabunge wa Chama cha Map

DCI Manumba amewasiliana na Wizara ya Afya ya nchi gani?

Evarist Chahali
MIONGONI mwa matukio ya kukumbukwa ya Bunge lililokuwa chini ya Spika wa zamani, Samuel Sitta ni tuhuma kwamba mmoja wa wabunge alifanya vitendo vya ushirikina.

Dk Mwakyembe, reli zetu ni huzuni yetu, iwe huzuni yako pia II

Maggid Mjengwa

HUU ni mwendelezo wa makala niliyoianza wiki jana. Kuna wakati Mwalimu Nyerere alitamka; “ Uchumi tunao, lakini tunaukalia”.

Ya Mwakyembe na sumu, nani anaongopa?

Maggid Mjengwa

NIMEPATA kuandika kuwa  kupitia kitabu chake  cha Kusadikika, mwanafasihi Shaaban Robert anamwelezea mchwa anayekaribia kufa.

Dk. Mwakyembe ategwa

Mwandishi Wetu
Dk. Harrison Mwakyembe
KASI ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Mwakyembe, kusafisha uongozi wa TAZARA imekutana na kizuizi cha sheria

Pages

Subscribe to Mwakyembe