Simba S.C.

Simba itazame ubingwa, si Yanga

Ibrahim Mkamba

NILIVUTIWA sana na kichwa cha habari cha gazeti la Sunday News la Jumapili ya Septemba 6,1981 cha habari ya ushindi wa goli 1-0 la kichwa la Juma Mkambi wa Yanga dhidi ya Simba kufuatia kona ya

Simba yaenda Oman kwa mafungu

Mwandishi Wetu
TIMU ya soka ya Simba ya Dar es Salaam, inaondoka nchini leo saa kumi jioni kwenda Oman kwa mafungu kutokana na baadhi ya wachezaji wake kutumikia majukumu mengine wakati huu

Ya Simba, Ligi Kuu na uwanja

Chesi Mpilipili

KABLA ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya soka nchini, gazeti moja la kila siku lilionyesha picha ya gari kukuu lililokuwa likimwagia maji uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro ka

Simba Unguja vs Yanga Pemba

Hafidh Kido
MABINGWA wa Soka Tanzania Bara msimu huu, Yanga wameonekana kurudia matapishi yao baada ya kujitapa kwa kipindi kirefu kuwa hawatoweka kambi katika maandalizi ya mpambano na mpinzani wao mkuu, Simba, kwenye mechi ya kufunga msimu Mei 18, mwaka huu

Upofu wa Yanga na Simba neema kwa wafadhili njaa

Godfrey Dilunga

WIKI iliyopita niliahidi kuchambua namna klabu kubwa nchini zinavyotumika kujenga majina ya watu kwa ‘taji’ la mfadhili lakini kwa maslahi kiduchu, nitafanya hivyo leo.

Simba na Basena: Sheria inapogeuka punda kihongwe!

Chesi Mpilipili

WAINGEREZA wana msemo: the law is an ass, wanaoutumia hasa pale sheria moja inapoweza kutumiwa kuamua masuala mawili tofauti kabisa kwa kutegemea tu uwezo wa hakimu ama wakili wa kunyumbulisha sher

Yanga na Simba: Bado ni yale yale ya miaka nenda rudi

Chesi Mpilipili

TUMESIKIA, kuona na kuambiwa kuhusu yote yanayopaswa kusikiwa, kuonwa na kuambiwa kuhusu mpambano wa watani wa jadi wa Yanga na Simba uliofanyika  Jumamosi ya Machi 5 mwaka huu.

Kwa nini Simba imeitoa Kiyovu?

Ezekiel Kamwaga

KATIKA usajili wa Simba msimu huu, wachezaji wawili wamenunuliwa kwa bei mbaya zaidi– Mwinyi Kazimoto na Felix Mumba Sunzu.

Simba wapewe milioni 100 zao

Chesi Mpilipili

SAA chache kabla ya Simba kupambana na mabingwa wa Afrika, TP Mazembe kwenye Uwanja wa Stade de Kenya mjini Lumbumbashi, kundi la ‘Marafiki wa Simba’ lilitoa ahadi ya kuwazadia wach

Tunamzomea Bocco kwa faida ya nani?

Ezekiel Kamwaga

KATIKA mechi 18 alizoanza msimu huu, mshambuliaji wa Azam FC, John ‘Adebayor’ Bocco, amepachika wavuni mabao 15 katika Ligi Kuu ya Tanzania.

Pages

Subscribe to Simba S.C.