All posts by Raia Mwema

Korea Kaskazini yaitisha Marekani katika mkutano

KOREA Kaskazini wiki iliyopita iliisakama Marekani kwa uchokozi katika Asia kupitia kisingizio cha kutafuta silaha za nyuklia. Korea Kaskazini ikaweka bayana kwamba Marekani inaweza kukumbwa na maafa kuliko inavyoweza kudhani, kama itaendelea na mipango yake hiyo. Akizungumza katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja

Kwa nini hali ya wasiwasi imerejea Ukraine?

KIEV, UKRAINE – HALI ya wasiwasi imeongezeka katika Jimbo la Crimea ambalo lilijitenga kutoka nchi ya Ukraine ili kuujiunga na Urusi. Hali hiyo ya wasiwasi imezidi katika wakati ambao Ukraine inaimarisha jeshi lake tayari kwa vita. Amri hiyo ya kuliweka ‘sawa’ jeshi hilo imetolewa baada ya

Mgeja aibuka tena, ampinga Rais Magufuli

SIKU chache baada ya kutoa kauli ya kutaka Rais Mstaafu Benjamin Mkapa awe mtuhumiwa wa kwanza kushtakiwa katika Mahakama ya Mafisadi itakayoanzishwa nchini, Mwenyekiti wa Tanzania Mzalendo Foundation, Khamis Mgeja, amekosoa uamuzi wa Rais John Magufuli wa kukataza shughuli za siasa hadi mwaka 2020 akisema

Uingizaji wa mifugo tishio hifadhi za taifa

ONGEZEKO la uingizaji wa mifugo kwenye Hifadhi za Taifa Tanzania ni tishio la uhifadhi pamoja na ongezeko la ujangili dhidi ya wanyamapori, imefahamika. Taarifa zinaonyesha kwamba kumekuwepo na ongezeko la uingizaji wa mifugo kwenye Hifadhi za Taifa (TANAPA) hususani maeneo ya Kaskazini na Magharibi mwa

Makosa ya kiuzungumzaji kwenye Kiswahili

Nianze kwa kuwapongeza watumiaji wa lugha ya kiswahili wote kwa kazi kubwa ya kuwa walimu wa mambo mengi, lakini kubwa zaidi ni lugha ya mawasiliano ambayo ni Kiswahili. Hii inatokana na ukweli uliofanywa na Taasisi ya Utafiti ya TWAWEZA siku za hivi karibuni. Kiswahili ni

ILO yasaidia kupitiwa upya sera ya ajira

SHIRIKA la Kazi Duniani (ILO) linashirkiana na serikali ya Tanzania katika kupitia upya sera taifa ya ajira ili kuweka mwelekeo mpya wa kupambana na tatizo la ukosefu wa ajira. Hayo yamesemwa na mwakilishi wa ILO kwa Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Mary Kawar, kwenye

TASAF ni zaidi ya kuondoa umasikini Zanzibar

SIYO siri kwamba Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) umekuwa ‘rafiki wa kweli wakati wa dhiki’ kwa kaya nyingi masikini katika kisiwa kidogo cha Tumbatu kilichoko karibu na mji wa Unguja. Kwa kuwezeshwa na Benki ya Dunia, TASAF imefanikiwa kusaidia kaya nyingi kusomesha watoto, wengine