All posts by Evarist Chahali

Magufuli na mivutano ya madaraka CCM, serikalini

KATIKA hitimisho la makala yangu katika safu hii wiki iliyopita niliahidi kuwaletea uchambuzi kuhusu mivutano ya kugombea madaraka (power struggles) ndani ya chama tawala CCM.Kwa bahati nzuri, kati ya makala hiyo na hii, kumejitokeza tukio ambalo linaweza kuhusishwa na mada hiyo ninayoiongelea katika makala hii.

Hakuna namna isipokuwa Rais Magufuli kutumbua mawaziri

MWAKA 1990 nikiwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora, kuliibuka mgomo mkubwa uliodumu kwa siku kadhaa. Kwangu, mgomo huo ulikuwa ni mtihani mkubwa, kwani sikuwa ‘mwanafunzi’ wa kawaida, bali nilikuwa kamanda wa wanafunzi au chifu. Shule hiyo, pamoja na Sekondari ya Wasichana Tabora,

Vitisho dhidi ya usalama wa taifa kwa Tanzania 2017

KATIKA nchi nyingi za huku Magharibi, kila mwanzoni mwa mwaka Idara zao za Usalama wa Taifa huchapisha ripoti inayoelezea kwa kina maeneo yanayoonekana kuwa yanaweza kuwa tishio kwa usalama wa mataifa husika. Kwa ‘akina siye’ kwa maana ya nchi nyingi za Afrika na Dunia ya

Tanzania bila dawa za kulevya inawezakana

MWEZI Machi mwaka jana, watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Nottingham cha hapa Uingereza walichapisha matokeo ya utafiti wao kuhusu kushamiri kwa tabia ya uvunjaji wa sheria. Katika matokeo hayo ya utafiti uliochunguza nchi 159, Watanzania tuliibuka vinara kwa kuwa watu wanafiki kupita kiasi, tukifuatiwa na

Rais Magufuli naye abebe msalaba wake

MIONGONI mwa kauli maarufu zaidi za Rais John Magufuli ni ile ya kuwaomba Watanzania wamwombee na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Kwa bahati mbaya au pengine kwa makusudi, Rais amekuwa mtu wa kwanza kukiuka kauli hizo au kuziweka katika mazingira magumu kutekelezeka. Nianze na