All posts by Mnaku Mbani

Hatari za uwekezaji kwenye soko la hisa?

MTU yeyote anapofikiria kuwekeza fedha zake sehemu yoyote ile ya kiuchumi, basi suala la faida huwa ni kitu cha kwanza kabisa kwenye fikra zake. Kwa kuwa faida ndiyo malengo ya biashara yoyote duniani, basi kila mtu anayewekeza huwa anapenda kuona fedha yake ikikua na kumletea

Hisa; Utajirisho usio na kificho

Wakati ananunua hisa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) mwishoni mwa mwaka 1998, Zacharia Meshack, 51 (sio jina halisi) alikuwa na mpango wa kuziuza ndani ya kipindi kifupi kama walivyofanya wawekezaji wengine. Kitu cha kwanza alichofikiria wakati anawekeza ni kuwa pale bei ya hisa itakapopanda

Mauzo ya hisa yashuka DSE

Mauzo ya hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yalishuka hadi kufikia shilingi milioni 511 wiki iliyopita kutoka shilingi milioni 787 za wiki ya awali. Hata hivyo, pamoja na kushuka kwa kiasi cha mauzo, idadi ya hisa zilizonunuliwa katika kipindi cha wiki

Vilio na vicheko sekta ya benki

SEKTA ya benki nchini huenda ilikabiliwa na hali ngumu ya kibiashara kwenye robo ya mwisho ya mwaka jana, baada ya ripoti za benki mbalimbali kwenye kipindi hicho kuonyesha kupungua kwa amana za wateja, faida na mikopo kwenye sekta mbalimbali za uchumi. Hata hivyo, pamoja na

Ujio wa Donald Trump na kuweweseka kwa dunia

Wakati anaanza mchakato kutafuta nafasi ya kukiwakilisha chama chake cha Republican kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka jana nchini Marekani, ni watu wachache tu waliomini kwamba huenda Donald Trump akawa mshindi. Katika mchakato mzima wa mgombea wa chama chake, wengi waliamini kwamba Donald Trump anaweza akawa