All posts by Maggid Mjengwa

Tathmini ya Miaka 50 ya Azimio na 40 ya CCM

KATIKA kuadhimisha miaka kumi ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, CCM na miaka 20 ya Azimio la Arusha, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alikubali kufanya mahojiano ya kipekee na ya aina yake na Mhariri wa gazeti la Uhuru. Huo ulikuwa ni mwaka 1987. Katika mahojiano yale,

Waafrika tumechoka kuonewa huruma na wakubwa

PAMOJA na ukweli kuwa nchi zetu hizi zinakaliwa na mamilioni ya wakulima wadogo wadogo wa kipato cha chini, umasikini wao unachangiwa sana na kipato kidogo kitokanacho na mauzo ya bidhaa zao za kilimo. Na hilo la mwisho linachangiwa na uwepo wa bei ya chini au

Bwana Yesu akasema Simoni, acha kuvua samaki, e nenda ukavue watu

BWANA Yesu alipotembelea mto Galilaya, aliwakuta wavuvi wakivua samaki, miongoni mwao alikuwa Simoni. Yesu akasema: " Simoni, acha kuvua samaki, E nenda ukavue watu.  Kuna siku nilikuwa saluni ya kunyolea nywele pale Iringa Mjini. Ndani ya Saluni ile kulikuwa na kinyozi, mimi na msichana aliyefanya

Tuwarudishe shuleni wasichana waliokatishwa masomo

KATIKA miezi ya karibuni, tumesikia matamko kutoka kwa watendaji wakuu serikalini. Kwanza alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambaye akiwa Mtwara, alizungumzia umuhimu wa wasichana kuendelea na elimu na uwepo wa adhabu kali kwa wanaochangia vitendo vinavyopelekea wasichana kukatishwa masomo yao. Naye Waziri wa Afya, Maendeleo

Nani atauzima mshumaa wa serikali?

KATIKA kuuanza mwaka huu mpya wa 2017, kuna haja, kama taifa, kukumbushana yale yaliyo ya kimaadili na hususan inapohusu uongozi. Nimepata kuandika haya; kuna wakati mama Maria Nyerere alipata kuulizwa swali la kukera kutoka kwa mwandishi kijana. Mwandishi huyo alimuuliza mama Maria Nyerere: “Hivi, inakuwaje

Tugange yajayo

TUMEINGIA  mwaka 2017. Maisha binafsi na ya Tanzania lazima yasonge mbele. Ni kwa kutekeleza kwa vitendo yale tuliyoazimia, kwa nafsi zetu na kama taifa. Wanadamu tuna ya kujifunza kutoka maisha ya tembo. Msafara wa tembo huwa na kawaida ya kutorudi nyuma. Ndiyo maana porini huzioni

Tumejiandaa vipi kwa mwaka 2017 kama taifa?

WAKATI tunaumaliza mwaka 20 16 na kuingia mwaka mpya wa 2017 Watanzania, na kama taifa, tunahitaji kuwa na kiona-mbali katika masuala ya maendeleo. Tuangalie hapa suala la umasikini na mchango wa elimu katika kuondokana na hali hiyo.  Ni dhahiri kwamba, watu tunao, tena wengi sana. Ardhi tunayo, tena kubwa sana. Na

Zika na taharuki isiyo ya lazima

NCHI yetu imekumbwa na taharuki isiyo ya lazima. Ni  yenye kutokana na matamshi yaliyokuja bila waliyoyatamka kuwa na umakini wa wanachokitamka. Hili sasa limekuwa tatizo kubwa kwenye nchi yetu. Kuna wakati aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick alivishutumu sana vyombo vya