All posts by Abdul Mkeyenge

Bravo Malinzi, tuchongee mzinga tuline asali

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ndiyo habari ya mjini wakati huu ambao Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametoa wimbo mpya. Si kawaida Diamond Platnumz kutoa wimbo ikamezwa na kitu kingine. Mara zote alizotoa nyimbo zilibamba kuanzia vituo vya habari, mitandao ya kijamii hadi

Shiza Kichuya sasa anachanganya

TAKWIMU za Shiza Kichuya hazimoseki vizuri wakati huu. Hazisomeki kwenye chati ya ufungaji wala kuhusika katika kutengeneza mabao. Huyu sio Kichuya aliyetoka Morogoro, mji uliokuwa chimbuko la wanasoka wengi hodari nchini kuja Dar es Salaam kujiunga na timu za Dar es Salaam. Amebadilika kidogo. Kichuya

Hongera Nape, lakini usiishie kwenye bendera

MICHEZO nchini Tanzania iko 'hoi bin taaban' na inapumulia mashine. Yote iko katika hali hiyo. Si soka, si riadha, si ngumi, michezo yote hoi. Hakuna mchezo unaoweza kusimama juu ya mchezo mwingine kujisifu unafanya vizuri. Michezo yote iko kwenye sura ya simanzi. Hali ya michezo

Malinzi jaribu kuwa mzalendo

VIWANJA vyetu vya soka nchini vimegeuka viwanja vya mapigano ya ‘vita’ za wenyewe kwa wenyewe. Ndiyo vita ya wenyewe kwa wenyewe. Wachezaji wanapigana, viongozi wanapigana na waandishi wanapigwa. Mpira wetu umefikia hapa hakuna cha kushangaa wala kushituka, tujikabidhi kwa Mungu na tujiombee. Suala la vurugu

2017 ndiyo hii, Azam mnaishi dunia ipi?

KATIKATI ya kilele cha sherehe za kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, shabiki mmoja wa kukereketwa wa klabu ya Azam, alikurupuka kusikojulikana na kupaza sauti yake juu kwa kusema “Mwaka ndiyo huu umeisha na unakuja mwaka mwingine, vipi mbona timu yangu (Azam) siielewi?” alijisemea

Wafahamu watu wanaosimama nyuma ya Conte

ANTONIO Conte amewasha moto katika Ligi Kuu ya England. Conte ambaye ni kocha wa Chelsea ameifanya timu hiyo kuwa na kiwango kizuri na yeye mwenyewe akishinda tuzo ya kocha bora wa mwezi mara mbili mfululizo. Ameshinda tuzo hiyo mwezi Oktoba na Novemba. Licha ya Conte