All posts by Jacob Mukuliza

Mfumo sahihi unahitajika kuokoa sekta ya madini Tanzania

JUMA lililopita Rais John Magufuli alipokea taarifa kutoka kwa Kamati ya Profesa Abdulkarim Mruma iliyokwenda kuchunguza makinikia iliyokuwepo katika makontena yaliyozuiliwa kwenye bandari ya Dar es Salaam. Taarifa hiyo ilibaini uporaji unaofanywa na wawekezaji wa kibepari kwa kiwango cha hali ya juu. Taarifa hiyo iliwasononesha

Tafiti ni nyenzo kubwa katika maendeleo ya taifa letu

MATAIFA mengi yaliyopiga hatua za maendeleo waliwekeza vilivyo katika tafiti. Tafiti hizo zilitokana na mapato ya ndani ya nchi hizo husika na hazikutokana na misaada ama zawadi kutoka kwenye nchi zingine ambazo zingeweza kuwa na ajenda binafsi. Taarifa mbalimbali za kiuchumi zinadhihirisha wazi ya kuwa,

Wabunge wetu mko wapi?

UMEPITA mwaka mmoja na miezi mitatu tangu tumefanya uchaguzi mkuu na sasa tumesalia na miaka mitatu na miezi saba mpaka uchaguzi mwingine mwaka 2020. Wakati wa kampeni za mwaka 2015, wabunge wetu walipata fursa ya kuweka sera zao hadharani ili kutushawishi tuwapigie kura watuongoze katika

Je, demokrasia ni muhimu kwa maendeleo ya nchi?

KWA takribani miaka 200 na zaidi, dunia imetawaliwa na mfumo mmoja wa kuleta maendeleo ukiasisiwa kwa mawazo na shinikizo kutoka kwenye nchi za Magharibi. Nchi za Magharibi zinaendelea kushinikiza nchi zote duniani kukubali mfumo wa maendeleo kama wanavyoona wao inafaa na huku wakilazimisha nchi zingine

Azimio la Arusha na Tanzania tuitakayo

AZIMIO la Arusha ni tamko rasmi la kisiasa lilikosudiwa kuongoza Tanzania katika njia ya Ujamaa na Kujitegemea. Jina la azimio linatokana na mji wa Arusha ambapo lilipitishwa tarehe 26-29 Januari 1967. Februari 05, 1967, Mwalimu Nyerere alilitangaza rasmi jijini Dar es Salaam  kama uamuzi wa Watanzania

Hizi ndio sababu zinazoifanya China kupiga hatua ya maendeleo

USASA (modernity) si kuwa kama nchi za Magharibi (Westernized). Wengi wetu tunadhani ili kuwa wa kisasa na kupata maendeleo lazima tuwe kama nchi za Magharibi na Marekani. Tunafikiri kuacha na kuua tamaduni zetu kama Waafrika na Watanzania na kuakisi zile za nchi zilizoendelea ndio njia

Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?

NILIPATA fursa ya kusikiliza kongamano lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika lililofanyika nchini Rwanda mwaka 2014. Kongamano hilo liliongozwa na tafakuri isemayo ‘Uongozi na Afrika tuitakayo’. Bila shaka, kwa karne hii ya 21 ni vema tukaanza kufikiri kama Afrika kwa pamoja na kuacha hii