All posts by Raia Mwema

Korea Kaskazini yatishia kuizamisha meli ya Marekani

Tokyo (CNN) KOREA Kaskazini jana Jumapili ilitishia kuizamisha meli ya Marekani ambayo imeanza mazoezi ya pamoja na meli za kivita za Japan katika bahari ya Pasifiki. Meli ya USS Carl Vinson itaungana na zile za Ashigara na Samidare katika mazoezi ya mbinu katibu na Ufilipono,

Mwalimu mbaroni kwa kumuua mwanaye mwenye tabia ya kuchelewa kwa viboko

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mwalimu Emmanuel Warioba (26) wa Shule ya Msingi Mwamakoye kwa tuhuma za kumuua mwanaye anayefahamika kwa jina la Sifael Emmanuel (8). Sifael Emmanuel alikuwa mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule hiyo iliyopo wilayani Kwimba, mkoani Mwanza. Kamanda wa

Wapenzi wa jinsia moja nchini Nigeria washtakiwa

KUNDI la watu 53 wamefikishwa mahakamani katika jimbo la kaskazini la Kaduna kwa kupanga kushiririki katika sherehe ya mashoga ambayo ilikuwa imepangwa kufanyika katika hoteli moja nchini Nigeria, gazeti moja la Premium Times kutoka eneo hilo linaripoti. Kundi hilo limekana kutokuwa na hatia kutokana na mashtaka