All posts by Paul Sarwatt

Ngorongoro hatarini kukosa msaada wa Wajerumani

BENKI ya KFW ambayo serikali ya Ujerumani ni moja wa wabia imesitisha msaada wa Euro milioni 4.5 kwa wilaya ya Ngorongoro hadi hapo mgogoro wa ardhi katika pori tengefu la Loliondo utakapopatiwa ufumbuzi. Fedha hizo ni sehemu ya msaada wa Euro milioni 9 zilizotolewa na

Chadema:Tumechezewa rafu uchaguzi wa madiwani

VIONGOZI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanadai kuchezewa rafu katika uchaguzi mdogo wa marudio wa  nafasi za udiwani katika kata nne za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara uliofanyika Jumapili Januari 22 mwaka huu. Uchaguzi huo ulifanyika katika kata za Ngarenanyuki

Baa la njaa: Magufuli apata watetezi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amepata “watetezi” kuhusu msimamo wake wa kuwataka wananchi kufunga mikanda na kutotegemea chakula cha msaada kutoka serikalini hasa katika kipindi hiki nchi ikikabiliwa na ukame unaotishia uhaba wa chakula. Katika mikutano yake na wananchi

Tanzania inakabiliwa na uhaba wa mbegu

TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa mbegu bora za mazao ya nafaka katika msimu huu wa kilimo wa kutokana na kushuka kwa uzalishaji wa mbegu bora katika msimu wa mwaka 2015/2016. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa mbegu leo mjini Arusha Mkurugenzi mazao katika Wizara ya

Serikali yawakumbuka Wahadzabe

JAMII ya wakusanya matunda na mizizi kutoka kabila la Wahadzabe ambayo iko hatarini kupotea katika uso wa dunia, hivi sasa ina jambo la kujivunia baada ya serikali kuikumbuka kupitia ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kuwatembelea watu wa jamii hiyo.