All posts by Mary Victor

Magufuli awapatanisha mahasimu Mbowe, Zitto

STAILI ya uongozi ya Rais Dk. John Magufuli imewapatanisha rasmi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, marafiki waliogeuka mahasimu wa kisiasa ambao kwa muda wamekuwa hawaivi, Raia Mwema linafahamu. Uhusiano wa kibinafsi na kisiasa baina ya Mbowe

Mbowe afungua kesi dhidi ya Makonda

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa kukiuka sheria na taratibu katika kushughulikia watuhumiwa wa biashara za dawa za kulevya nchini. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Mwenyekiti

Magufuli ategwa uuzwaji nyumba za serikali

MGOGORO baina ya wakazi wanaoishi nyumba zilizokuwa za Shirika la Saruji Wazo Hill Tegeta jijini na Wakala wa Majengo nchini(TBA) unafukuta huku jina la Rais Dk John Magufuli likihusishwa. Shirika la Saruji Tanzania lilijenga nyumba za kuishi Wazo Hill kwa ajili ya wafanyakazi wake. Lakini

TIRDO yachanja mbuga uanzishwaji wa viwanda nchini

Wiki iliyopita Mary Victor alifanya mahojiano maalumu na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) Profesa Madundo Mtambo na haya ndiyo yaliyojitokeza. Raia Mwema: Serikali ya awamu ya tano imeamua kujenga viwanda. Ni nini ambacho serikali ina cha kuchota kutoka

Matokeo yamkwamisha binti

CHELSEA Nicholaus mhitimu wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Morogoro(2016)huenda asitimize ndoto yake ya kujiunga na elimu ya juu baada ya matokeo yake kutoonekana kwenye taasisi zinazohusika. Mwanafunzi huyo alikuwa akipeleka maombi yake kwenye vyuo mbalimbali vilivyo chini ya Baraza la Elimu

‘Wasiomshauri vyema Rais waachie ngazi’

Wiki iliyopita mwandishi wetu Mary Victor alifanya mahojiano maalumu na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Estomih Minja, pamoja na mambo mengine, kuhusu hali ya sasa ya biashara zao katika mazingira ambayo serikali imechukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kubana matumizi yake. Kwa