Hifadhi: Burudani & Michezo

Mabadiliko ya soka hayaepukiki, TFF vipi?

NENO 'Mabadiliko' ni miongoni mwa maneno yalilokaa vinywani mwa Watanzania kwa mwaka wa pili sasa na litaendelea kukaa zaidi na zaidi. Hili ni neno la Kiswahili sanifu lisilo na tone la shaka ndani yake. Neno hili limekuwa moja ya kauli mbiu za sehemu nyingi siku

Yanga ya kufikia hali hii?

WIKI ambayo Real Madrid ilisheherekea kutimiza miaka 115 na kuonyesha mambo mbalimbali ilikotoka, iliko na inakokwenda, ndiyo wiki hiyo hiyo klabu ya Yanga iliingia wiki yake ya pili ya kuwa na hali mbaya kiuchumi kikosini mwake, licha ya uongozi wake kuikanusha hadharani hali hii. Yanga

Nape tunahitaji kongamano la kitaifa la michezo

MWISHONI mwa Februari 2017, Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, alitangaza majina ya watu kumi waliounda kamati ya kuhamasisha Watanzania kuiunga mkono timu ya soka ya taifa ya vijana (Serengeti boys) kuelekea ushiriki wake nchini Gabon kwenye fainali za Mataifa Afrika chini

Mavugo endelea kutukumbusha

ACHANA na umahiri wa kufumania nyavu uliotuama kwenye guu la kushoto la Shiza Kichuya aliyewafunga Yanga mara zote mbili alizokutana nao msimu msimu huu kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji Laudit Mavugo alisajiliwa kwa kazi hiyo anayoifanya Kichuya na ndiyo alitajwa kama staa wa

Sadio Mane, Mungu anakuona

SADlO Mane, fundi wa mpira kutoka Afrika anaendelea kuweka heshima katika Jiji la Merseysde, Liverpool.  Mane mkimya kama alivyo, asiye na maneno mengi na mara nyingi katika mahojiano yake na waandishi wa habari hutazama chini kwa kuona haya.  Huyo ndio Mane aliyeamua kuwazima Senegal na

Bravo Malinzi, tuchongee mzinga tuline asali

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ndiyo habari ya mjini wakati huu ambao Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametoa wimbo mpya. Si kawaida Diamond Platnumz kutoa wimbo ikamezwa na kitu kingine. Mara zote alizotoa nyimbo zilibamba kuanzia vituo vya habari, mitandao ya kijamii hadi

Cameroon yatawazwa mabingwa wapya Afrika

BAADA ya Misri kupata bao la kuongoza katika dakika ya 22 ya mchezo, Cameroon ilipambana na kufanikiwa kutoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 2-1 katika pambano kali la fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Vincent Aboubakar alikwamisha bao la ushindi dakika mbili kabla