Hifadhi: Burudani & Michezo

Sadio Mane, Mungu anakuona

SADlO Mane, fundi wa mpira kutoka Afrika anaendelea kuweka heshima katika Jiji la Merseysde, Liverpool.  Mane mkimya kama alivyo, asiye na maneno mengi na mara nyingi katika mahojiano yake na waandishi wa habari hutazama chini kwa kuona haya.  Huyo ndio Mane aliyeamua kuwazima Senegal na

Bravo Malinzi, tuchongee mzinga tuline asali

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ndiyo habari ya mjini wakati huu ambao Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametoa wimbo mpya. Si kawaida Diamond Platnumz kutoa wimbo ikamezwa na kitu kingine. Mara zote alizotoa nyimbo zilibamba kuanzia vituo vya habari, mitandao ya kijamii hadi

Cameroon yatawazwa mabingwa wapya Afrika

BAADA ya Misri kupata bao la kuongoza katika dakika ya 22 ya mchezo, Cameroon ilipambana na kufanikiwa kutoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 2-1 katika pambano kali la fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Vincent Aboubakar alikwamisha bao la ushindi dakika mbili kabla

Shiza Kichuya sasa anachanganya

TAKWIMU za Shiza Kichuya hazimoseki vizuri wakati huu. Hazisomeki kwenye chati ya ufungaji wala kuhusika katika kutengeneza mabao. Huyu sio Kichuya aliyetoka Morogoro, mji uliokuwa chimbuko la wanasoka wengi hodari nchini kuja Dar es Salaam kujiunga na timu za Dar es Salaam. Amebadilika kidogo. Kichuya

Hongera Nape, lakini usiishie kwenye bendera

MICHEZO nchini Tanzania iko 'hoi bin taaban' na inapumulia mashine. Yote iko katika hali hiyo. Si soka, si riadha, si ngumi, michezo yote hoi. Hakuna mchezo unaoweza kusimama juu ya mchezo mwingine kujisifu unafanya vizuri. Michezo yote iko kwenye sura ya simanzi. Hali ya michezo