Hifadhi: Burudani & Michezo

Jitihada hizi TFF zisiishie njiani

HIVI karibuni wakati wanamichezo wa Tanzania walioshiriki michuano ya Afrika ‘All African Games’ waliporejea mikono mitupu kutoka Congo Brazaville, watanzania walio wengi hawakufurahia. Walirejea mikono mitupu kwa maana ya kufungwa katika michezo yote sita ambayo Tanzania ilishiriki. Kuna waliokuwa na imani kuwa labda timu ya

Kwa nini marais hawa wa Marekani waliuawa- 2

LEO ndugu wasomaji nawaletea makala inayomhusu Rais wa 20 wa Marekani, aliyekaa madarakani kwa siku 200 tu. Kulikoni? Anaitwa nani na ilikuwaje? Majibu yote nitayaweka wazi hapa. Rais huyo ni James Abraham Garfield. Huyu alizaliwa Novemba 19, mwaka 1831, katika kijumba cha mbavu za mbwa

Misingi ya urais si kusakata rumba au pushups jukwani

KWANZA naomba radhi wasomaji wangu kutokana na kuchelewa kuendeleza makala yangu “Hawana jipya, CCM wamepoteza mwelekeo’’ kama nilivyoahidi katika makala iliyopita nilipojibu makala ya Dk. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega (CCM). Nilishindwa kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kipindi hiki cha hekaheka za

Siasa zimetusahaulisha hatari ya El nino

JINSI Watanzania tunavyochukulia kiurahisi tahadhari ya mvua za El – nino ambazo zinategemewa kuanza kunyesha mwezi ujao inaweza kuelezea kwa nini uwezo wetu wa kupambana na majanga ni mdogo. Kilicho dhahiri ni kuwa hatujiandai kabla majanga hayajatukuta bali tunakurupuka wakati adui yupo mlangoni. Nimekuwa nikifuatilia

Nchimbi ampamba Bashe Nzega Mjini

MJI wa Nzega mkoani Tabora wiki iliyopita ulitawaliwa na nderemo za aina yake wakati mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Hussein Bashe, alipozindua kampeni zake katika mkutano uliotanguliwa kuhutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Dk. Emmanuel Nchimbi. Helkopita (chopa) iliyowabeba wagombea ubunge

Nchimbi ampamba Bashe Nzega Mjini

MJI wa Nzega mkoani Tabora wiki iliyopita ulitawaliwa na nderemo za aina yake wakati mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Hussein Bashe, alipozindua kampeni zake katika mkutano uliotanguliwa kuhutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Dk. Emmanuel Nchimbi. Helkopita (chopa) iliyowabeba wagombea ubunge