Hifadhi: Burudani & Michezo

Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na ukweli halisia. Wanafalsafa wa kale walinena kwamba inapofumuka vita

Uongo, uzandiki na takwimu

JE, tuziamini tafiti zenye kutegemea takwimu kutabiri nani atashinda, na kwa kiwango gani, katika uchaguzi? Taasisi zenye kutabiri mambo ya uchaguzi zinajinata kwamba utabiri wao ni tofauti na ule wa wapiga ramli kwa sababu wao ni wa “kisayansi” na, kwa hivyo, ni wa kuaminika. Wanalitumia

Magufuli apoteza mwelekeo

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amejivurugia nguvu za ushindi wake na juhudi za dharura zinahitajika kukabili hali hiyo. Magufuli ambaye amedhihirisha kukubalika zaidi kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa, mikoa ya Nyanda

Hakuna kulala

WIKI tatu kabla ya kuhitimishwa kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu, vyama vyenye ushindani mkubwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), vimebadili mbinu za kampeni ili kuhakikisha wagombea wao wanashinda. Wagombea wa vyama hivyo, Edward Lowassa wa Chadema na John Magufuli

Tuonyeshe ukomavu kidemokrasia

WAKATI Kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiwa zinaelekea ukingoni, tunawakumbusha wafuasi wa vyama na wagombea mbalimbali kutambua kwamba uchaguzi huu ni fursa ya wananchi kufanya uamuzi wa nani wanataka kumchagua awe kiongozi wao. Kampeni ni sehemu tu ya njia za kuwashawishi wananchi kuweza kukichagua na kukipa

Tatizo ni kukurupuka bila mipango

TIMU ya Tanzania iliyoenda kushiriki michuano ya Afrika maarufu kama ‘All African Games’ imerejea nchini mwishoni mwa wiki iliyopita saa tisa usiku. Wachezaji wamerejea wakiwa vichwa chini kutokana na kushindwa kupata medali hata moja katika michezo yote sita iliyoshiriki. Mashindano hayo yalimalizika mwishoni mwa wiki