Hifadhi: Burudani & Michezo

Hongera Msuva, tukiwezeshwa tunaweza

MSIMU huu wa michuano ya vilabu barani Afrika kutakuwa na jina la mchezaji raia wa Tanzania ambaye atacheza hatua ya makundi ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika. Jina hilo ni la kiungo mshambuliaji wa klabu ya El Jadida FC ya Morocco, Simon Msuva, ambaye

Uwanja Taifa ugeuke ‘Machinjio’

ABDUL MKEYENGE KINYONGE kabisa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa wamerudi nyumbani vichwa chini. Yanga wamerudi na mtazamo huo kutoka Botswana. Simba nao wamerudi na sura hiyo wakitokea Misri. Hawana wa kumlaumu, wajilaumu wenyewe. Japo kundi kubwa la mashabiki linatokeza hadharani na kusema timu

Simba, Yanga zilongwa mbali, zitendwa mbali

NA ABDUL MKEYENGE MWISHONI mwa wiki hii wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Klabu Afrika Simba na Yanga zitakuwa ugenini kucheza michezo ya marudiano. Simba watakuwa Misri kucheza dhidi ya Al Masry ya nchini humo, huo ukiwa mchezo wa Kombe la Shirikisho, huku Yanga wakitarajiwa

Mbwana Samatta azidi kung’aa Ubelgiji

Na Mwandishi Wetu, BEVERIN NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amezidi kung’aa katika timu yake ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji. Juhudi binafsi za Samatta kwa kuunganisha ufundi wa makocha na wachezaji wake ziliiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya ya

Azam FC upande wa Al Masry au Simba?

Na Mwandishi Wetu WAKATI Simba ikishuka uwanjani Jumatano hii kuvaana na Al Masry ya Misri katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, mapokezi ya timu hiyo pinzani kwa Simba bado gumzo. Al Masry mara baada ya kuwasili nchini walipokewa kwa kutumia basi la Azam FC

Maafisa wafungwa baada ya rais kuchezewa rafu uwanjani

BUJUMBURA, BURUNDI TAARIFA kutoka Bujumbura – Burundi zinaarifu kwamba maofisa wawili nchini humo wamefungwa gerezani baada ya rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza kuchezewa rafu kwenye mechi waliyoiandaa. Rais Pierre Nkurunziza ni mlokole kutoka kanisa la Evangelical Christian ambaye mara nyingi hutumia muda wake kusafiri

Nidhamu mbovu yawatafuna wasanii wa filamu

NA MWANDISHI WETU WASANII wa filamu nchini wametakiwa kuzingatia maadili na nidhamu ili waweze kufanikiwa katika kazi zao, tofauti na hali ilivyo kwa sasa miongoni mwao. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF) Joyce Fissoo,mwishoni mwa wiki jijini Arusha, alipokuwa

Simba kuifyatua Al Masry keshokutwa?

NA MWANDISHI WETU WAKATI swali kuu likiwa ni je, timu ya soka ya Simba itaweza ‘kuifyatua’ kwa magoli kibao timu kutoka Misri hapo keshokutwa katika Uwanja wa Taifa – Dar es Salaam, mipango ya fedha kuhusu mchezo huo hasa masuala ya kiingilio imekwishawekwa sawa. Samba