Hifadhi: Uchumi na Biashara

Nenda ATC anga zimefunguka

WIKI iliyopita nilisafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) kwenda Mbeya tukitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, kwangu ikiwa mara ya kwanza. Nilipata kusafiri na ndege za Shirika hilo huko nyuma, na hasa, katika kipindi lilipokuwa limejiingiza/limeingizwa katika ubia

Ofisi ya madini Mwanza taabani

OFISI ya Madini Mkoa wa Mwanza inakabiliwa na ukata hivyo kujikuta inadaiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) deni la pango la nyumba linalofikia Sh milioni 70 kwa sasa. Taarifa ya ofisi hiyo iliyowasilishwa kwenye kikao cha wajumbe wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Mwanza

‘Magufuli atakataa ushauri’

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki aliyeko kwenye matibabu ya majeraha ya risasi Ubelgiji ameliambia Raia Mwema Jumatano kwamba haamini kama Rais Dk. John Magufuli anaweza kupokea ushauri wake. Ameeleza msimamo wake huo katika mahojiano yake kwa njia ya mawasiliano ya simu kutokea nchini Ubelgiji

Kizungumkuti cha mishahara Mererani

IDADI kubwa ya wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite katika machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro  wapo hatarini  kukosa ajira iwapo serikali  itatekeleza  agizo  la kuwataka  wamiliki wa migodi kuwalipa wachimbaji mishahara wachimbaji hao wadogo. Mwishoni mwa mwezi Februari serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa

MV Victoria yadhoofisha bandari za Mwanza

NA CHRISTOPHER GAMAINA, MWANZA IDADI ya abiria na mizigo katika bandari za Mwanza imeelezwa kupungua kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya ubovu wa meli ya MV Victoria iliyokuwa ikifanya safari kati ya jijini hapa na Bukoba mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na Mamlaka

Wingu lazidi kutanda Mount Meru

Na Mwandishi Wetu, Arusha UCHAKUACHUAJI na kugushi  matokeo ya mitihani katika Chuo Kikuu cha Mount Meru umeingia katika ngazi nyingine kutokana na hatua ya uongozi wa chuo hicho kutoa cheti cha ngazi ya shahada kwa mwanafunzi aliyefeli  masomo zaidi ya manane. Chuo hicho  kinamilikiwa na

Marekani yachochea kilimo Mbeya

NA FELIX MWAKYEMBE, MBEYA KILIMO cha mboga mboga na matunda katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, kinakua kwa kasi kuanzia mwaka jana lakini ukuaji huo unakabiliwa na changamoto ya soko la uhakika kwa mazao hayo. Wakulima wilayani humo, wamehamasishwa, nao wamehamasika, wakajiunga kwenye vikundi kulima