Hifadhi: Africa

Tukatae kutawaliwa na wanasiasa wanaoiga mbinu za Mobutu

Na Ansbert Ngurumo HAKUNA rangi ambayo hatutaona awamu hii. Mmoja alijiita “mungu wa Bongo.” Mwingine sasa anatamani “kuongoza malaika.” Kwa viwango vyovyote, hizi ni siasa mbaya sana, za binadamu kujikweza na kujitukuza “kimungu-mungu.” Iwapo tutakubaliana na siasa za aina hii, tukubaliane kuwa sasa tumeridhia kuenzi

Raila Odinga: Mzalendo au msaliti?

Na Ahmed Rajab MATUKIO ya kisiasa yanayotokea sasa nchini Kenya yanatufunza mengi. Ninayakusudia maridhiano yaliyofikiwa Ijumaa iliyopita Nairobi baina ya Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga, kiongozi wa muungano wa upinzani wa National Super Alliance (NASA). Maridhiano hayo yameibua maswali kadhaa yenye kutatanisha.  Kubwa na

No Thumbnail

Vyama vya siasa Nigeria kuteua wagombea wa urais Agosti 18

LAGOS, NIGERIA TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi Nigeria (INEC) imevitaka vyama vya siasa nchini humo kuanza mchakato wa kuteua wagombea wao wa urais kuanzia Agosti 18 hadi Oktoba 7, mwaka huu. Hatua hiyo inachukuliwa ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye uchaguzi wa urais unaotarajiwa

Kijana wa Mugabe anaswa akifanya shopping New York

NEW YORK, MAREKANI MMOJA wa vijana wa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ambaye ni miongoni mwa watu 70 waliokuwamo kwenye msafara wa kikazi wa rais huyo nchini Marekani ametumia muda wake kufanya ‘matanuzi’ ya ununuzi wa bidhaa mbalimbali. Mugabe aliongozana na msafara wa watu 70

Televisheni ya taifa yamwomba radhi mgombea urais mtarajiwa

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI SHIRIKA la Habari la Afrika Kusini (SABC) limelazimika kumwomba radhi mwanamama anayetarajiwa kuwania urais Nkosazana Dlamini-Zuma, kwa kumuita “mke wa zamani wa Zuma” Kwa mujibu wa taarifa kutoka mitandao mbalimbali ya habari, hii ni mara ya pili kituo hicho cha SABC kumwita

Benki yachunguzwa kuhusu mauaji wa kimbari Rwanda

KIGALI, RWANDA TAIFA la Ufaransa limeanzisha uchunguzi dhidi ya benki ya BNP Paribas, inayodaiwa ‘kuhusika’ katika mauaji kimbari nchini Rwanda miaka 23 iliyopita. Mauaji hayo ya kimbari yalisababisha upotevu wa maisha ya watu zaidi ya 800,000, na yaliibuka baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa

Rais Buhari aonywa kutofunga raia ‘midomo’

ABUJA, NIGERIA RAIS wa zamani wa Chama cha Wanasheria nchini Nigeria, Joseph Daudu, ameweka bayana kile anachoamini kinaisukuma serikali ya Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria kutofunga watu ‘midomo’ kujieleza kwa uhuru kwa njia mbalimbali ikiwamo mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa kiongozi huyo, utawala wa