Hifadhi: Kanda ya Kaskazini

Kizungumkuti cha mishahara Mererani

IDADI kubwa ya wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite katika machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro  wapo hatarini  kukosa ajira iwapo serikali  itatekeleza  agizo  la kuwataka  wamiliki wa migodi kuwalipa wachimbaji mishahara wachimbaji hao wadogo. Mwishoni mwa mwezi Februari serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa

Wingu lazidi kutanda Mount Meru

Na Mwandishi Wetu, Arusha UCHAKUACHUAJI na kugushi  matokeo ya mitihani katika Chuo Kikuu cha Mount Meru umeingia katika ngazi nyingine kutokana na hatua ya uongozi wa chuo hicho kutoa cheti cha ngazi ya shahada kwa mwanafunzi aliyefeli  masomo zaidi ya manane. Chuo hicho  kinamilikiwa na

Wingu laendelea kutanda Mount Meru

Na Paul Sarwatt, Arusha WINGU jeusi limeendelea kutanda katika Chuo Kikuu cha Mount Meru kilichopo eneo la Ngaramtoni nje kidogo ya mji wa Arusha kutokana na hatua ya uongozi wa chuo hicho kusitisha ghafla mikataba ya ajira ya wahadhiri 35 wiki iliyopita. Chuo hicho kinachomilikiwa

Chuo chamkaidi Profesa Ndalichako

Na Paul Sarwatt, Arusha  CHUO KIKUU cha Mount Meru kimepuuza maagizo ya Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia, na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako, kuwalipa mishahara wahadhiri wake na badala yake kimewafukuza kazi wahadhiri sita. Chuo hicho kinachomilikiwa na Kanisa la Baptist kimekumbwa na kashfa nyingi ikiwamo

No Thumbnail

Chuo cha Mount Meru matatani

CHUO Kikuu cha Mount Meru (MMU) kimeingia katika kashfa ya kugushi matokeo katika mitihani  kwa “kufaulisha” wanafunzi  201 wa kozi ya astashahada (diploma) bila ya baadhi kusahihishiwa  mitihani yao ya mwisho, Raia Mwema Jumatano limebaini MMU kipo katika eneo la Ngaramtoni,  nje kidogo ya Jiji

Vuta nikuvute ya CCM, serikali Handeni

MVUTANO unanukia kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga na uongozi wa serikali Wilaya ya Handeni kuhusiana na wafanyabiashara ndogo. Kiini cha vuta nikuvute hiyo ni hatua ya Halmashauri ya Mji wa Handeni kubomoa  vibanda  vya Soko la Melini na kisha kuwahamishia wafanyabiashara

Ngorongoro wajenga makumbusho ya kihistoria

MAMLAKA  ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) iko mbioni kukamilisha ujenzi wa makumbusho makubwa katika eneo la Olduvai, ili kuhifadhi chimbuko na historia ya maendeleo ya binadamu. Kwa mujibu wa wataalamu kutoka makumbusho ya Taifa na mambo ya kale, makumbusho hayo yametajwa kuwa ndiyo

No Thumbnail

Leseni za magari zaleta kizaazaa Tanga

MAMLAKA ya Mapato mkoani Tanga, (TRA), imesitisha utoaji wa leseni za udereva kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa, baada ya mashine ya kudurufu (printer) leseni hizo kuharibika hatua ambayo imeleta usumbufu kwa madereva wa magari makubwa ya mizigo, wanaosafiri kwenda nje ya nchi. Kaimu Meneja