Hifadhi: Kanda ya Kati

Mikakati yasakwa kunusuru zabibu msimu wa pili

Na GRACE CHILONGOLA, DODOMA SOKO la zao la zabibu mkoani Dodoma linakabiliwa na changamoto kutokana na serikali kupandisha kodi ya vileo katika Bajeti ya mwaka wa fedha 2017/18. Katika bajeti hiyo mchuzi utokanao na zabibu (dulky wine) uliokuwa ukilipiwa kodi shilingi 200 kwa lita, uliingizwa

Zimamoto Dodoma tayari kwa changamoto

BAADA ya Serikali ya Awamu ya Tano kuanza kuhamia Dodoma pamejitokeza maendeleo katika sekta ya mbalimbali hapa kukiwamo kukua kwa sekta ya ujenzi kama maghorofa. Je, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limejiandaaje kukabaliana na changamoto ya kukua kwa Dodoma? Mwandishi Wetu GRACE CHILONGOLA amefanya mahojiano

Sukari ya viwandani bado kitendawili tata

VIWANDA vinavyotumia malighafi ya sukari ya viwandani vimenusurika kusitisha uzalishaji na kufungwa baada ya serikali kupitia Bodi ya Sukari kuanza kutoa vibali kwa sukari iliyokwama bandarini kwa muda mrefu. Sukari ya viwandani iliyoagizwa kutoka nje ya nchi na wafanyabiashara mbalimbali ilikwama katika Bandari ya Dar

Wananchi wahofia baa la njaa Dodoma

WANANCHI wa kata ya Ihumwa, nje kidogo ya manispaa ya Dodoma wana hofu ya kukumbwa na baa la njaa baada ya eneo wanalolitumia kwa ajili ya kilimo kufanyiwa uthamini na Kampuni Hodhi ya Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO) kwa ajili ya ujenzi wa reli

Singida sasa yakabiliwa na jangwa

SINGIDA ni miongoni mwa mikoa minane inayokabiliwa na tishio la kugeuka kuwa jangwa kutokana na tatizo la ukataji miti ovyo kwa ajili ya kuchoma mkaa. Mikoa mingine ni pamoja na Mwanza, Simiyu, Mara, Arusha Dodoma na Manyara. Uharibifu huo wa mazingira unasababishwa na shughuli za

‘Dodoma, Singida zina maji tele ardhini’

NA GRACE CHILONGOLA, DODOMA KUMEKUWA na mtazamo kuwa mikoa ya Singida na Dodoma ni mikame yenye upungufu mkubwa wa maji, lakini uhalisia ni tofauti kutokana na ardhi yake kuwa na maji mengi chini katika kina kifupi yanayoweza kutumika kwenye kilimo ili kuiingiza Tanzania kwenye uchumi