Hifadhi: Kanda ya Ziwa

Ofisi ya madini Mwanza taabani

OFISI ya Madini Mkoa wa Mwanza inakabiliwa na ukata hivyo kujikuta inadaiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) deni la pango la nyumba linalofikia Sh milioni 70 kwa sasa. Taarifa ya ofisi hiyo iliyowasilishwa kwenye kikao cha wajumbe wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Mwanza

MV Victoria yadhoofisha bandari za Mwanza

NA CHRISTOPHER GAMAINA, MWANZA IDADI ya abiria na mizigo katika bandari za Mwanza imeelezwa kupungua kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya ubovu wa meli ya MV Victoria iliyokuwa ikifanya safari kati ya jijini hapa na Bukoba mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na Mamlaka

Mahitaji ya vijana kufanikisha SDGs

NA CHRISTOPHER GAMAINA, MWANZA MAHITAJI ya afya ya uzazi na ajira kwa vijana ni miongoni mwa mambo yatakayozingatiwa zaidi kwenye mabadiliko ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana Tanzania, lakini pia katika kufanikisha Malengo ya Maendeleo Endelevu 17 (SDGs) ya Dunia, imeelezwa. Malengo hayo

Jeshi jipya lanukia nchini

NA CHRISTOPHER GAMAINA, MWANZA KATIKA juhudi za kuimarisha mkakati wa kustawisha uhifadhi wa misitu na wanyamapori nchini, serikali imeanzisha mchakato wa kuunda jeshi jipya kwa ajili ya kutokomeza vitendo vya ujangili dhidi ya maliasili hizo. Kinara wa mchakato huo kwa sasa ni Waziri wa Maliasili

No Thumbnail

Wauguzi walaani mwenzao kupigwa Bugando

CHAMA cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimelaani kitendo cha kushambuliwa na kujeruhiwa kwa muuguzi wa Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) akiwa kazini. Akitoa tamko hilo katika mkutano na wanahabari hospitalini hapo wiki iliyopita, Makamu wa Rais wa TANNA, Ibrahim Mgoo alisema shambulio hilo lilitekelezwa na ndugu

Chai yachochea wazee kufurika kupata matibabu

HUDUMA ya chai na vitafunwa imetajwa kuongeza mahudhurio ya wazee wanaokwenda kutafuta matibabu katika Kituo cha Afya Kahangala wilayani Magu, Mwanza kutoka watano kwa siku mwaka 2014 hadi 20 mwaka huu. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Mganga Mfawidhi wa kituo hicho cha Serikali, Joyce

Shoka kali kwa wavuvi haramu Buchosa

SIKU chache baada ya Raia Mwema kuripoti ukubwa wa tatizo la uvuvi haramu katika Ziwa Victoria, Serikali wilayani Sengerema, Mwanza imekunjua makucha kwa kukamata tani 12 za samaki wachanga wenye thamani ya Sh milioni 72. Samaki hao aina ya sangara wenye urefu wa chini ya