Hifadhi: Nyanda za Juu Kusini

Marekani yachochea kilimo Mbeya

NA FELIX MWAKYEMBE, MBEYA KILIMO cha mboga mboga na matunda katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, kinakua kwa kasi kuanzia mwaka jana lakini ukuaji huo unakabiliwa na changamoto ya soko la uhakika kwa mazao hayo. Wakulima wilayani humo, wamehamasishwa, nao wamehamasika, wakajiunga kwenye vikundi kulima

Chadema sasa majaribuni

NA FELIX MWAKYEMBE, MBEYA  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinakishutumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwarubuni wabunge na madiwani wake, wanachama wake nao wanawashutumu viongozi kwa ubabe na ubaguzi, na kutahadharisha kuwa upinzani nchini unaporomoka kutokana na wananchi kukata tamaa. Wanapohojiwa viongozi na wanachama wa

CCM yajimaliza kwa ukabila Mbeya

NA FELIX MWAKYEMBE HIVI karibuni, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole, alinukuliwa akiutaja ukabila kama moja ya sababu zilizokiangusha chama chake katika Jimbo la Mbeya Mjini kwenye chaguzi mbili zilizopita. Yeye si kiongozi wa kwanza wa Chama cha Mapinduzi kutoa kauli hiyo.

Mahakama yampaisha Sugu

FELIX MWAKYEMBE NA VENANCE MATINYA, MBEYA JUMATATU ya Februari 26, mwaka huu Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga, walihukumiwa kifungo cha miezi mitano jela baada ya kutiwa hatiani kwa

Soko jipya la Mwanjelwa lahujumiwa

MATUKIO yanayoendelea kwenye Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya: siasa na kujipendekeza kwa baadhi ya makundi ya wafanyabiashara, yanaashiria jambo moja tu, hujuma, na hiyo  hailiendelezi soko bali inalihujumu, Raia Mwema Jumatano limebaini.   Baadhi ya wakazi wa jiji hilo wanahusisha hujuma hizo na siasa za