Hifadhi: Uchumi na Biashara

Nenda ATC anga zimefunguka

WIKI iliyopita nilisafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) kwenda Mbeya tukitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, kwangu ikiwa mara ya kwanza. Nilipata kusafiri na ndege za Shirika hilo huko nyuma, na hasa, katika kipindi lilipokuwa limejiingiza/limeingizwa katika ubia

Soko la hisa lilichangamka robo ya pili 2017

Robo ya pili ya mwaka huu iliyoishia Juni ilikuwa na neema kwa soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) baada ya ripoti kuonyesha ongezeko kubwa la biashara ya hisa ikilinganishwa na robo ya kwanza iliyoishia Machi. Ripoti ya robo ya pili ya mwaka huu

Athari uchaguzi Kenya zaonekana DSE

Misukosuko ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Kenya wiki iliyopita, imesababisha bei ya hisa za kampuni za Kenya zilizoorodheshwa kwenye soko la Hisa la Dar es Salaam  kupungua. Hatua hii imetokea wakati tayari Rais Uhuru Kenyatta akiwa  amekwishatangazwa mshindi wa uchaguzi huo, ambao ulitabiriwa kuwa na

Magufuli kaimarisha shilingi?

NA MNAKU MBANI SHILINGI ya Tanzania imeanza kuonyesha ishara ya kuimarika baada ya ripoti ya bei kwa mwezi Julai iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuonyesha kuwa uwezo wake wa kununua bidhaa na huduma umeongezeka. Ripoti hiyo imeonyesha kwamba uwezo wa shilingi kununua

Uchaguzi wa Kenya na Soko la hisa la Dar es Salaam

Na Mnaku Mbani Wananchi wa Kenya juzi walifanya uchaguzi mkuu kwa ajili ya kuchagua Rais, magavana, wajumbe wa mabunge ya majimbo  na wawakilishi wa bunge la taifa na Seneti. Uchaguzi wa jana uliambatana na mchuano mkali wa wagombea, hasa nafasi urais kati ya Rais aliyeko

DAGAA WANAVYOMTOA DADA MSOMI

Dagaa wanavyomtoa dada msomi *Awachuuza mtaa kwa mtaa kichwani *Wanaume hawaamini ni dagaa tu * Asema ajira nyingi, tatizo aibu   NA MNAKU MBANI   NI nadra kuona kijana wa Kitanzania aliyehitimu elimu ya chuo kikuu akitafuta shughuli ya kujiajri badala ya kusaka ajira yenye