Hifadhi: Katiba Mpya

No Thumbnail

Hadhari na Mchakato wa Katiba

KAMA kuna watu wanadhani kwamba amani na utulivu vilivyopo hapa nchini vimeletwa tu na kuangukia Tanzania, matukio ya karibuni yanapaswa kuwaamsha kutoka usingizini. Katika picha za kusikitisha kuwahi kutolewa katika siku za karibuni, vyombo vya habari katika siku za juzi na jana vilikuwa na picha za Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba

No Thumbnail

Je, Katiba Inayopendekezwa ilipita kihalali?

WIKI tatu baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kumaliza kazi yake, yameibuka mambo mengi ambayo kwa kiwango kikubwa yameiabisha Tanzania. Bunge Maalumu la Katiba lilimaliza kazi yake wiki mbili kabla ya  kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere kiongozi aliyeiletea Tanzania heshima kubwa

No Thumbnail

Kikwete hataacha ‘legacy’ yoyote nzuri kwa Katiba hii

KIASI miaka inavyosonga mbele tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, afariki dunia, ndivyo pia watu waliofanya naye kazi kwa karibu wanavyofungua mioyo yao na kutoa taarifa mpya zinazomhusu ambazo hatukuwa na habari nazo. Kwa sababu ya umri wao mkubwa, nahisi  wasaidizi hao wa zamani wa

No Thumbnail

Kura ya Hapana itawezakana kweli?

KOSA jingine ambalo linakwenda kufanywa na wapinzani na watu wengine ambao walikubali mchakato wa Katiba mpya kufanyika hadi mwisho ni kuwa wanataka kujiandaa kufanya kampeni ya kura ya “Hapana”

No Thumbnail

KATIBA: Dk. Bana na wasomi wenzake waache propaganda

MIONGONI mwa matukio yatakayojitokeza kufuatia Rais Jakaya Kikwete kupokea “Katiba inayopendekezwa” kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samwel Sitta, ni mashindano ya nani anaweza kufanya propaganda baina ya kambi inayoamini kuwa Katiba pendekezi sio ya wananchi na wale wanaodai kuwa hiyo ndiyo yenyewe iliyokuwa ikisubiriwa kwa bashasha na Watanzania

No Thumbnail

Niliyojifunza mchakato wa Katiba

LEO tunatarajia Mwenyekiti wa lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba Samuel Sitta atamkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk. Mohammed Shein Katiba inayopendekezwa ili taratibu nyingine za maandalizi ya kura ya maoni zifuate