Hifadhi: Makala

No Thumbnail

Watu wema wakikaa kimya, maovu hushamiri!

EDMUND BURKE (1729-1797) ni jina mashuhuri sana katika duru za kisiasa na utetezi wa haki za binadamu. Burke, alizaliwa huko Dublin nchini Uingereza zaidi ya miongo ishirini iliyopita. Katika hali ya kushangaza aliwahi kusema “The only Necessary for the Triumph of Evil is for Good

Huu ndio umuhimu wa vyama vingi kwa taifa

Na Bryceson Kayungilo INAFAHAMIKA kwamba mfumo wa vyama vingi vya siasa uliingia katika nchi nyingi duniani mara baada ya kuanguka kwa dola la nchi zilizokuwa za Muungano chini ya Umoja wa Kisoviet (Usoshalisti) zikiongozwa na Urusi (USSR), baada ya kuanza kuwepo vuguvugu la mageuzi ndani

Mfumo wa vyama vingi ni uamuzi wa Watanzania?

“JAMHURI ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, isiyokuwa na dini, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.” (Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, Sura ya Kwanza, ukurasa wa 19). Nimeona nianze na nukuu hiyo, ili tuweze kukumbushana

Tukatae fedheha kuwa taifa linaloruhusu watoto kuolewa

NAKUMBUKA kumwona Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi siku chache zilizopita akitoa maelezo ya utetezi bungeni kuhusu kigugumizi cha serikali kurekebisha sheria ya ndoa ya mwaka 1971. Utetezi ule wa Profesa Kabudi ulijengwa katika kile kilichoonekana kama ni kulinda au kuenzi mila na

Uchumi ukue, mito ikauke

Na Pd Vedasto Ngowi UNAPOZUNGUMZIA wanaharakati wakubwa wa mazingira katika Afrika, nadhani jina la mwanzo litakuwa la hayati Profesa Wangari Maathai wa Kenya. Msomi, mwanamazingira mkereketwa, na mwanasiasa. Harakati zake hizo zimempatia misukosuko mingi kabisa. Amefungwa mara nyingi, alipigwa na askari, aliwahi kuingia katika mgomo

Kijiji cha Ilolo ni uwekezaji au ugenishaji ardhi?

Na Mwandishi Wetu DIWANI wa Kata ya Kiwira, Rungwe, Gedion Mwakila (Chadema), anasema Serikali inakaribisha hatari kwa kuchelewesha ufumbuzi wa mgogoro wa ardhi kati ya Kanisa na wananchi wa Kijiji cha Ilolo. “ Huu ni mgogoro wa muda mrefu. Wananchi wamekuwa wakilalamika kwamba umechukua muda

Jumuiya za Afrika na kigugumizi cha kisiasa

Na Mwalimu S.Sombi BAADA ya mkutano wa Berlin yaani (Berlin conference) mwaka 1884-1885, pamoja na mambo mengine ajenda kuu ilikuwa kugawa bara la Afrika kwa amani, mkutano huo ulihudhuriwa na mataifa saba ya Ulaya ikiwamo taifa la Uingereza, Ufaransa, Hispania, Ureno, Ubergiji na Ujerumani. Baada