Hifadhi: Uchumi na Biashara

Nani anasema ukweli kuhusu hali ya chakula?

TATIZO la upungufu wa chakula sio la Tanzania peke yake. Wakati mamilioni wanaendelea kulala usiku bila ya kula chakula duniani, kwa upande mwingine, mamilioni wengine wanakula na kusaza. Uhaba huo unatokana na sababu nyingi  zikiwemo kupungua kwa uzalishaji wa mazao ya chakula, kupanda holela kwa

Wakubwa wajipanga kumdhibiti Magufuli

VITENDO vya Rais John Magufuli kutoa matamko yaliyo kinyume cha mila na desturi za kisiasa hapa nchini, kimeibua hofu kwa viongozi wastaafu nchini ambao sasa wanataka maadhimisho ya kitaifa yatungiwe sheria mahususi, Raia Mwema limeambiwa. Tangu aingie madarakani mwaka 2015, Rais Magufuli ametoa matamko ya

Mkurugenzi aweweseka ufisadi maji safi, taka Arusha

SAKATA la ufisadi  na matumizi mabaya fedha zinazoikabili Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka mjini Arusha (AUWSA)  na baadhi ya maofisa wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, limezidi kuchukua sura mpya kufuatia hatua ya Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo kuwaweka “kitimoto” wafanyakazi wa Idara ya Fedha

Baa la njaa: Magufuli apata watetezi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amepata “watetezi” kuhusu msimamo wake wa kuwataka wananchi kufunga mikanda na kutotegemea chakula cha msaada kutoka serikalini hasa katika kipindi hiki nchi ikikabiliwa na ukame unaotishia uhaba wa chakula. Katika mikutano yake na wananchi

Jiji la Mbeya katika mtego wa wafanyabiashara

JIJI la Mbeya limeingia kwenye mtego wa wafanyabiashara baada ya juma lililopita kukubaliana na wazo lao la kuwaruhusu kurudi kwenye Soko Kuu la Uhindini. Kufanikisha azma yao ya kurudi kwenye eneo hilo la katikati ya jiji hilo, wafanyabiashara hao walipitia kwa Mkuu wa Mkoa wa