Hifadhi: Kanda ya Kaskazini

Wagomea uhamisho Hifadhi ya Ngorongoro

VIONGOZI wa juu katika  Wizara za a Maliasili na Utalii, Wizara ya Utumishi na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)  wako katika wakati mgumu baada ya watumishi tisa wa Mamlaka ya hiyo kugomea uhamisho  wa kwenda katika mashirika ya umma na taasisi  zilizoko  chini ya

Makamba akanusha kukifunga kiwanda cha chai

MBUNGE wa jimbo la Bumbuli, Januari Makamba amekana kuhusika kwa namna yoyote  kufungwa kwa kiwanda cha Chai cha Mponde kilichofungwa miaka minne iliyopita na kusababisha ugumu wa maisha kwa wakulima wa zao la chai na wananchi  wilaya za Lushoto na Korogwe. Akizungumza katika kikao cha

Uhamisho wa walimu waleta kizazaa Lushoto

MKURUGENZI wa Halmashauri ya wilaya ya Lushoto, Kazimbaya Makwega amesema kuwa zoezi la kuwahamisha walimu waliopo katika shule za mjini na kuwapeleka shule za vijijini litaendelea licha ya kugusa baadhi ya walimu wanaoaminika kuwa ni wake wa viongozi wakubwa wilayani humo. Katika siku za hivi

Chadema:Tumechezewa rafu uchaguzi wa madiwani

VIONGOZI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanadai kuchezewa rafu katika uchaguzi mdogo wa marudio wa  nafasi za udiwani katika kata nne za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara uliofanyika Jumapili Januari 22 mwaka huu. Uchaguzi huo ulifanyika katika kata za Ngarenanyuki

Mkurugenzi maji safi, taka Arusha awekwa kiporo

WATENDAJI wa Juu wa  Wizara ya Maji na Umwagiliaji wamemweka “kiporo” Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Jiji la Arusha (AUWSA), Mhandisi Ruth Koya anayetuhumiwa kwa  ufisadi wa Sh. milioni 198. Msemaji wa wizara, Athuman Shariff alithibitisha mwishoni mwa wiki juu