Hifadhi: Kanda ya Kati

Mapigano ya wakulima, wafugaji Bahi, yanukia

MGOGORO  wa wakulima na wafugaji katika kijiji na kata ya Makanda wilayani Bahi, mkoani Dodoma, umeanza kufukuta kiasi cha kuhofia kuibuka kwa mapigano. Hiyo ni baada ya wageni na baadhi ya wenyeji kuvamia eneo lililotengwa kwa ajili ya malisho ya mifugo, hifadhi ya misitu na

‘Tatizo la Sekondari Kurio ni shule za kata’

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma, Jaffari Mwanyemba, ameibuka na kufafanua kuhusu kufungwa kwa Sekondari ya Kurio hali iliyosababisha uongozi wa Kanisa Katoliki Kondoa kuomba irejeshwe kwao. Kwa mujibu wa Manyemba, kuanzishwa kwa sekondari za kata ndicho chanzo cha

Huduma ya tiba kwa kadi bado mtihani Tabora

KUCHELEWA kuanza utoaji huduma za afya kwa utaratibu wa Tiba kwa Kadi (TIKA) katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ikilinganishwa na manispaa nyingine nchini kumesababisha wakazi wa manispaa hiyo kujiunga kwa kasi ndogo na huduma hiyo. Tangu huduma hiyo ianzishwe katika Halmashauri ya Manispaa ya

Polisi ni miongoni mwa waliokufa ajalini Dodoma

WATU wanne wakiwemo Polisi wawili wa mkoa wa Songwe wamefariki dunia na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari walilopanda kuacha njia na kupinduka kwenye barabara Kuu ya Dodoma Iringa katika kijiji cha Seruka, Kata ya Chipogolo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. Ajali hiyo imehusisha gari lenye

Nyaraka za feki zatumika kulipa mamilioni Dodoma

Dodoma, Tanzania UZEMBE wa baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma umesababisha mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi wa miundombinu kupata ushindi huo kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi na kulipwa malipo ya awali ya shilingi milioni 30 bila kufanya kazi iliyokusudiwa. Licha ya mchakato

Milioni 167 ‘zaliwa’ kifisadi Soko la Kibaigwa

BODI ya Soko la Kimataifa la Mazao ya Nafaka Kibaigwa imeingia katika  tuhuma za ubadhirifu wa fedha baada ya ukaguzi wa hesabu  kubaini  matumizi mabaya ya fedha ya kiasi cha shilingi milioni 167. Tuhuma hizo zinaikabili bodi ya soko hilo iliyokuwa madarakani kwa vipindi viwili vya