Hifadhi: Kimataifa

Rais wa 41 Marekani George H.W. Bush akimbizwa hospitali

RAIS wa zamani wa Marekani, George H.W. Bush, amekimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu, Shirika la Habari la Reuters limeripoti kwa kukariri matangazo yaliyorushwa na televisheni ya KHOU. George Herbert Walker Bush aliyezaliwa Juni 12, mwaka 1924 ni rais wa 41 wa Marekani akiwa ameshika

Papa akiri ‘giza’ katika imani yake

GUIDONIA, ITALIA Papa Francis amekiri Jumapili kuwa wakati mwingine anakuwa na mawingu ya ‘giza’ juu ya imani yake, huku akionya juu ya “Wakristo kasuku” ambao wanatumia maneno zaidi ya matendo. “Kuna nyakati, pia nimekutana na wakati wa giza katika imani yangu na imani hiyo imepungua

Marekani yapeleka ndege ghali zaidi za kivita Japan

(CNN) MFUMO wa silaha ghali zaidi kwa sasa katika historia ya Marekani uliopewa jina la The F-35 Joint Strike Fighter, ipo njiani kuelekea nchini Japan, kuwa kitovu cha ulinzi wa Marekani katika eneo la bahari ya Pasifiki. Sehemu ya kwanza ya ndege 16 za jeshi