Hifadhi: Kutoka Mitandaoni

Mugabe afuja mabilioni kukodi ndege ya kifahari

HARARE, ZIMBABWE RAIS Robert Mugabe wa Zimbabwe mwishoni mwa wiki iliyopita amefuja zaidi ya dola milioni moja za Marekani kwa ajili ya kukodi ndege ya kifahari Boeing 767-200 aliyoitumia kusafari katika nchi za Singapore na Ghana ilihali nchi yake ikikabiliwa na uchumi mgumu kupindukia. Hali

Adhabu ya viboko ni utamaduni wetu waafrika?

UTAMADUNI ni utaratibu wa jamii fulani ambao wamekubali kuishi kwa kufuata taratibu fulani ambazo zinaendana na mila na desturi zao. Tamaduni katika Afrika hususani Tanzania zinatofautiana baina ya kabila moja na jingine, japo nyingi hufanana.   Ni jambo la kawaida kabisa katika jamii za kiafrika

Ni serikali ya milipuko, matamshi

WAKATI  Tanzania na ulimwengu tukiuaga rasmi mwaka 2016 na kuanza mwaka mpya wa 2017, mengi yamewahi kusemwa juu ya aina ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli. Ni kitu cha kawaida kwa binadamu kuwa na maoni tofauti juu

Vitisho, matusi dhidi ya Wafanyakazi, tutafika?

MWISHO wa mwezi uliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikamilisha ziara yake katika Mkoa wa Dar es Salaam iliyokuwa inalenga kukutana na wananchi na kujua juu ya kero zinazowakabili. Ziara hiyo imekuwa ikirushwa moja kwa moja na vituo maarufu vya redio