Hifadhi: Nyanda za Juu Kusini

Uhalifu watikisa Ipinda, Kyela

ZAIDI ya matukio 20 ya uporaji madukani na kwenye makazi yanaelezwa kutokea Ipinda kati ya Desemba mwaka jana na mwezi huu, na hali hiyo imesabaisha hofu miongoni mwa wafanyabiashara na wakazi wa mji huo mkongwe wilayani Kyela. Mwanzoni, wimbi la uporaji huo lilipoibuka hakuna aliyejali.

Mahindi yaleta balaa mpakani Tanzania, Malawi

UHABA wa chakula unaoikabili nchi ya Malawi umesababisha maafa badala ya neema kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma nchini humo na majirani zake Zambia na Tanzania. Malawi, miongoni mwa nchi zinazokabiliwa na uhaba wa chakula. Ipo katikati ya biashara hiyo, ambapo wakati ikiagiza mahindi kutoka

Chozi la kiboko wa Mto Katuma

Mwandishi wetu FELIX MWAKYEMBE anaendelea na mfululizo wa makala kuhusu Mto Katuma mkoani Katavi ambapo leo tutaona jinsi uvamizi wa vyanzo vya maji unavyoathiri Ziwa Katavi, Chada na Rukwa. KILIMO cha mpunga katika ukanda wa juu wa  Mto Katuma kilianza taratibu mwishoni mwa miaka ya

Mkoa wamsafisha Mwenyekiti halmashauri Kyela

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala amekanusha tuhuma zilizotolewa na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela dhidi yake  akisema hazina ukweli wowote. Makala alitoa kanusho hilo hivi karibuni akijibu swali aliloulizwa kuhusu madai ya madiwani hao kwamba anachochea mgogoro unaoendelea kati ya madiwani

Wavamizi Mto Katuma, wauza maji kwa wakulima

Mwandishi wetu FELIX MWAKYEMBE, aliyekuwa mkoani Katavi kwa kazi za kihabari, leo katika mfululizo wa makala za Chozi la viboko wa Mto Katuma, anakiangalia kilimo cha umwagiliaji kisichokuwa rafiki kwa mazingira kinavyochangia kutoweka kwa mto huo uliopo mkoani Katavi. WAVAMIZI kwenye Mto Katuma mkoani Katavi