Hifadhi: Uchumi na Biashara

Mauzo ya hisa yashuka DSE

Mauzo ya hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yalishuka hadi kufikia shilingi milioni 511 wiki iliyopita kutoka shilingi milioni 787 za wiki ya awali. Hata hivyo, pamoja na kushuka kwa kiasi cha mauzo, idadi ya hisa zilizonunuliwa katika kipindi cha wiki

Vilio na vicheko sekta ya benki

SEKTA ya benki nchini huenda ilikabiliwa na hali ngumu ya kibiashara kwenye robo ya mwisho ya mwaka jana, baada ya ripoti za benki mbalimbali kwenye kipindi hicho kuonyesha kupungua kwa amana za wateja, faida na mikopo kwenye sekta mbalimbali za uchumi. Hata hivyo, pamoja na

Nani anasema ukweli kuhusu hali ya chakula?

TATIZO la upungufu wa chakula sio la Tanzania peke yake. Wakati mamilioni wanaendelea kulala usiku bila ya kula chakula duniani, kwa upande mwingine, mamilioni wengine wanakula na kusaza. Uhaba huo unatokana na sababu nyingi  zikiwemo kupungua kwa uzalishaji wa mazao ya chakula, kupanda holela kwa

Mamia washindwa kuuza hisa zao DSE

Mamia ya wawekezaji kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wanashindwa kuuza hisa zao kutokana na kukosekana kwa wanunuzi, hasa kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka, ambapo wanunuzi wengi wanakabiliwa na mahitaji mengine ya kifedha. Ripoti za soko la hisa kwa wiki jana

Riba za mikopo baina ya benki yapungua

Wakopaji wa sekta mbalimbali za uchumi huenda wakapata unafuu kwenye mikopo kuanzia mwakani kutokana kuendelea kupungua kwa viwango vya riba ya mikopo baina ya benki. Ripoti ya viwango vya riba za mikopo baina ya benki  iliyoko kwenye tovuti ya Benki Kuu ya Tanzania imeonyesha kwamba viwango