Hifadhi: Uchumi na Biashara

Uchumi wayumba, benki zawabana zaidi wakopaji

WAFANYABIASHARA wa sekta mbalimbali za uchumi nchini wanaendelea kukumbwa na hali ya ukata kutokana na taasisi za kibenki kupunguza kwa kiwango kikubwa utoaji wa mikopo. Hali inayotafsiriwa kuwa huenda ikaathiri ukuaji wa uchumi, inatajwa kuweza kusababisha kushindwa kupanuka kwa shughuli za uwekezaji nchini, hasa kwa

Njombe isisahaulike uchumi wa viwanda

Wakati serikali ya awamu ya tano ikisisitiza kuwa Tanzania ielekee kuwa na uchumi wa viwanda, baadhi ya wananchi na wadau wa maendeleo wa mkoa wa Njombe wamependekeza kwamba mkoa huo pia usisahaulike. Hii ni kutokana na kwamba mkoa huo una rasilimali nyingi, ambazo zingeuwezesha kuwa

Mfumuko wa bei wapungua zaidi

Mfumoko wa bei umeendelea kupungua hadi kufikia asilimia 4.5 mwezi Septemba ikilinganishwa na asilimia 4.9 za mwezi Agosti mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya takwimu (NBS) leo imeonyesha kwamba kupungua kwa mfumuko wa bei ni matokeo ya kupungua kwa kasi ya upandaji wa bei

Mikopo kwenye viwanda, kilimo yaporomoka

WAKATI serikali ikijipanga kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda, kiwango cha mikopo kwenda kwenye sekta hiyo, pamoja na kilimo imeporomoka katika kipindi kilichoishia Juni mwaka huu, ikilinganishwa na kipindi kilichoishia Juni mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti ya mapitio ya uchumi ya mwezi Julai mwaka

Mikopo sekta ya viwanda, kilimo yaporomoka

WAKATI serikali ikijipanga kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda, kiwango cha mikopo kwenda kwenye sekta hiyo, pamoja na kilimo imeporomoka katika kipindi kilichoishia Juni mwaka huu, ikilinganishwa na kipindi kilichoishia Juni mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti ya mapitio ya uchumi ya mwezi Julai mwaka

Bei ya hisa za DSE yapaa zaidi

Hisa za Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) PLC zimeendelea kupaa katika kipindi kifupi baada ya kufikia shilingi 1,350 mwishoni mwa wiki jana kutoka shilingi 500 ya bei ya awali. DSE iliuza hisa zake za awali mwezi Mei na Juni mwaka huu kwa