Hifadhi: Utalii na Mazingira

Trump aombwa alegeze msimamo kuhusu hali ya hewa

RAIS wa mkutano wa mazingira uliomalizika hivi karibuni jijini Marrakech nchini Morocco amemuomba rais mteule wa Marekani Donald Trump kuunga mkono mapambano dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Hatua hii inakuja wakati Trump akionekana kutokuunga mkono jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya hali

Hatari yanyemelea ziwa Victoria

Kuanzia mwaka 2040 na kuendelea, ziwa Victoria, ambalo linategemewa na nchi tatu za Afrika Mashariki (EAC),litakuwa ni chanzo kikubwa cha matatizo ya kiafya badala ya chanzo cha uchumi, kama ilivyo sasa. Baadhi ya watoto watakao kuwa wanazaliwa na wazazi ambao sasa wanatumia rasilimali za ziwa