|
|
|
|
|
Sitta na Lowassa wagongana tena

 Kamati ya Mwinyi yawashindwa  Ujasusi watumika kuwinda vigogo wa CCJ KIWEWE cha kuanzishwa kwa Chama Cha Jamii (CCJ) kinachohusishwa na baadhi ya vigogo maarufu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinashika kasi huku kamati ya wazee iliyoongozwa na rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, ikishindwa kumaliza makundi kama ilivyokusudiwa... |
 |
|
|
|
|