Machi 3 - 9, 2010
 
Toleo Na. 123
   Maoni ya Mhariri
Sheria mpya, TAKUKURU ile ile ni kujidanganya
TUMEKUWA tukifuatilia mjadala ulioibuka bungeni na kwingineko, kuhusu muswada wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ambao tunaambiwa karibuni utafanywa kuwa sheria. Tuseme mwanzoni kabisa kwamba sisi tunauona muswada/sheria hii kuwa ya muhimu sana katika mazingira ya siku zijazo, yanayojaribu kurekebisha uchafu ambao tumekuwa tukiushuhudia...
Mpasuko mpya CCM

HUKU Kamati ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ikiwa imeongezewa muda kukamilisha usuluhishi miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kundi jipya limeibuka ndani ya chama hicho likitaka vigogo kadhaa wafukuzwe uanachama...
 Makala

Kikwete ahaha urais 2010
HARAKATI za kuwania urais zinahusishwa kuandaliwa kwa mtandao mpya wa Rais Kikwete ambao unadaiwa unawarejesha baadhi ya wajumbe wake wa zamani, unampigia debe Spika Samuel Sitta...
 Makala

Wanaharakati wawajia juu wabunge kuhusu Ngorongoro
HIFADHI ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) huenda ikageuka kuwa uwanja wa mapambano ya kisheria baina ya vyombo vya dola na wanaharakati wanaopigania haki za jamii za pembezoni (indigenous)...
 Makala

Mapadri Wakatoliki wavamiwa
Waandishi Wetu
MAJAMBAZI wenye silaha wiki hii wamevamia nyumba ya Mapadri wa Kanisa Katoliki Changanyikeni, Dar es Salaam na wakarusha risasi kabla ya kutoweka na kompyuta ndogo na baadhi ya nyaraka za padri mmoja...
 
 
free counter

counters

 
 Makala   Makala   Makala   Makala
Je, wakati ni mwafaka kuwa na wagombea binafsi?
Maggid Mjengwa
CHARLES Montesque ni mwanafalsafa mkongwe aliyezaliwa mwaka 1689 nchini Ufaransa. Ndiye mwanafalsafa aliyejenga hoja ya kuwa na dola yenye mihimili mitatu huru...
Kikwete anapomsifu Hosea badala ya kumwajibisha!
Fred Mpendazoe
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kuridhia Muswada wa Sheria ya Matumizi ya fedha wakati wa uchaguzi, ni muhimu sana akawaeleza Watanzania mambo kadhaa yafuatayo...
Wakulima Mbeya wacharuka na Teknohama!
Felix Mwakyembe
"SIO rahisi kumlalia mkulima siku hizi, wakulima huku nao wanazo simu, hupiga huku (soko la Mbalizi) kila siku kujua bei ya mazao iliyopo. Ukimlalia anakwambia mbona bei iko juu Mbalizi...

 

Ilani za vyama na econometrics tata!
Godfrey Dilunga
NAUNGANA na wanaoamini au watakaoamini kwamba kitaifa hatuhitaji Ilani za vyama vya siasa wakati wa Uchaguzi Mkuu. Tunahitaji ilani moja, iliyoandaliwa na jopo la watalaamu mahsusi kwa kuzingatia fursa halisi za kiuchumi nchini...
Ya Bernard Membe na mapinduzi ya Niger!
Johnson Mbwambo
HIVI karibuni nilimsikia Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe akihojiwa na BBC kuhusu mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika huko Niger, Afrika Magharibi...
Isichotaka serikali wananchi wajue kuhusu wagombea binafsi!
Lula wa Ndali-Mwananzela
LICHA ya juhudi za serikali kupuuzia, kubeza na hata kudharau waziwazi maamuzi ya mahakama kuhusu suala la wagombea binafsi, historia itaonyesha kuwa mwaka 2010 Tanzania ilikubali kuruhusu wagombea binafsi! ...

 

MUUNGANO WETU: Tanganyika ilikufaje Z'bar ikasalimika?
Joseph Mihangwa
MIAKA 46 tangu meli ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ing?oe nanga, Aprili 26, 1964 hadi sasa; bado inaendelea kuyumba kwa kusukwasukwa na mawimbi makali na kusababisha adha kubwa...
Kuna somo katika sinema mpya za Bongo!
Ayub Rioba
MWANZONI mwa mwezi jana nilipata fursa ya kwenda Ghana. Nilifurahi kupata mwaliko wa kwenda Ghana kwa sababu kadhaa. Kwanza ninaipenda Afrika...
Nyegera waitu Bukoba mjini!
Privatus Karugendo
LEO napenda kuzungumzia mji wa Bukoba ambao ndiyo makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Kuna njia kuu tatu za kuingia mji wa Bukoba. Unaweza kuingia kwa barabara, kwa ndege au kwa meli...

 

Barbosa: Kipa wa Brazil aliyenuniwa na taifa hadi kifo
Maggid Mjengwa
HAIJAPATA kutokea mechi ya fainali ya Kombe la Soka la Dunia kama ile ya mwaka 1950 wakati Brazil ilipokwaana na Uruguay kwenye Uwanja wa Maracana nchini Brazil...
Tunaweza hata kuwa na minada ya hongo!
Hidaya
?Unajua mheshimiwa, moyo au tumbo likikutuma, waweza kutetea kitu chochote. Na hata kama unashindwa kuwadanganya wengine waweza kujidanganya hadi unakuwa mbogo mtu yeyote akipinga'...
Tumefanya kosa kuvunja madaraja ya ligi
Ibrahim Mkamba
KWENYE awamu ya kwanza ya uongozi wa taifa letu kulikuwa na misemo mingi mahsusi iliyokuwa ikihusu mipango mbalimbali ya maendeleo yetu. Mmoja uliokuwa maarufu sana ni ule unaosema kwamba ili tuendelee...