Maswali ambayo Tido alishindwa kumuuliza LowassaLula wa Ndali-MwananzelaMAHOJIANO ya Mkurugenzi wa TBC Tido Mhando na aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa ambayo yalirushwa Ijumaa iliyopita yameniacha na maswali mengi zaidi kuliko majibu...  | Kwanini simba awinde panya pori?Maggid MjengwaINATUHUSU sisi Watanzania. Mnyama simba ana uwezo wa kumfukuza, kumkamata na kumla panya pori. Lakini, simba huyu atakuwa si mwenye busara kwa kutumia muda na nguvu zake nyingi kuwinda panya pori siku nzima...  | Utata ujenzi barabara ya SerengetiPaul SarwattNDOTO ya Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia mradi wa ujenzi wa barabara ya kuunganisha mikoa ya Arusha na Mara inayopita katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kama mtaji wa kuombea kura...
|
|
Buriani Profesa MwaikusaGodfrey DilungaBURIANI Profesa Jwani Mwaikusa, mzalendo wa kweli na hodari kitaaluma. Uhai wake umetoweka ghafla, hataonekana tena katika viunga vya Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) wala mahakamani...  | Ni takwimu, takwimu na takwimu zaidi!Johnson MbwamboWIKI mbili hizi zilizopita tunaweza kusema kisiasa zilikuwa wiki za chama tawala CCM. Kwanza, kilifanya mkutano wake mkuu huko Dodoma uliomthibitisha Jakaya Kikwete kugombea tena urais...  | Rushwa, kadi bandia vyatawala ShinyangaWAKATI kindumbwendumbwe cha kuwania kura za maoni miongoni mwa wagombea uongozi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kikishika kasi nchini, rushwa na mbinu chafu za kujihakikishia kura nazo zimeshika kasi...  | ZANZIBAR : Mzimu wa kale kung'atuliwa?Joseph MihangwaKUTEULIWA kwa Dk. Mohamed Shein kuwa mgombea urais Visiwani Zanzibar kwa tiketi ya CCM wakati huo huo mchakato wa kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Visiwani ukiendelea...
|
|
|
Epukeni kuwapa kura makuwadi wa utandawaziMtu wa KaleNI vyema Watanzania mkaelewa kwamba Ilani Elekezi Kutoka Kuzimu ya 2010-2015, imejikita katika kuonyesha njia mbadala ya kukishauri chama cha siasa kinachotaka ridhaa yenu katika kuendesha serikali...  |  | Nchunga ana changamoto nyingi YangaFrancis ChirwaKLABU ya michezo ya Yanga ya mjini Dar es Salaam, imepata viongozi wapya. Mwanasheria Llyod Nchunga amechaguliwa kuiongoza klabu hiyo kama mwenyekiti....
|
|