Ya wahariri wetu na hatma ya mhimili wa nneJohnson MbwamboHIVI karibuni ulifanyika mkutano muhimu wa wahariri wa vyombo vya habari nchini uliojadili suala la kuibuka kwa magazeti yanayolenga kuandika habari chafu za wafanyabiashara wanayoyamiliki...  | Ya watangazaji wetu na adhabu ya viboko!Chesi MpilipiliMsoma taarifa ya habari wa moja ya vituo vyetu vya televisheni nchini ametafsiri kichwa cha habari za michezo cha Bumper entries for ARC kwamba ni 'Mzunguko wa matuta katika mbio za Magari'!...  | Mabadiliko ni lazimaPrivatus KarugendoSIKU hizi ninaishi Dar es Salaam. Wiki hii nilitembelea eneo la Ubungo, wa kule kwetu wasichanganye na Kibungo ya Rwanda, au Nyarubungo ya Biharamuro...  |
|
|
Bunge kushambulia mahakama: ni demokrasia au ubabe?Joseph MihangwaFEBRUARI 6, Jaji Mkuu, Augustino Ramadhani, alitoa kauli iliyosisitiza umuhimu wa kudumisha Uhuru wa Mahakama unaotokana na dhana ya Mgawanyo wa Madaraka, kati ya mihimili ya Utawala (Rais), Bunge na Mahakama...  | Shukran, nyaraka za siri zivujishwe zaidiGodfrey DilungaKILA mmoja wetu ajiulize, kama si kuvujishwa kwa nyaraka za siri za EPA, katika Benki Kuu ya Tanzania, hizo Sh. bilioni 53 zilizoidhinishwa na Bunge kupelekwa kwa wakulima zingetoka wapi?...  |  | Kagame aja Arusha na visheni mpya ya EACPAMOJA na kukabiliwa na changamoto mbalimbali kama ukosefu wa fedha na msukumo wa pamoja, nchi za EAC bado zinaendelea na ndoto za kujenga miundo mbinu ya pamoja...
|
|
Vyetu ni vyombo vya habari au vyombo vya kabari?Ayub RiobaNiliandika wiki mbili zilizopita nikisema imekuwa ni kawaida kila uchaguzi unapokaribia yanaibuka magazeti mapya ambayo hufanya kazi yake ya kampeni, na kisha kupotea baada ya matokeo kutangazwa...  | Lipumba: Tutajipanga vizuri kwa 2010Francis ChirwaMahojiano na Profesa Lipumba kuhusu kupitishwa kwake kama mwenyekiti wa CUF baada ya kupata kura nyingi dhidi ya wapinzani wake na mambo mengine mengi...  |  |
|
|
Kuna mgongano wa maslahi timu ya Kikwete NICZOEZI jipya la kurekebisha na hatimaye kubinafsisha Shirika la Bima la Taifa Tanzania (NIC) lina dosari kadhaa kubwa zinazoweza kuathiri mwenendo na hatima nzima ya zoezi lenyewe...  | Waibua mbinu za kulinda misituMRADI wa Mazingira kwa Maendeleo Tanzania (EfDT), umeibua maeneo muhimu ambayo yatasaidia kulinda misitu nchini na kuendeleza maisha ya wanavijiji waishio kuzunguka hifadhi hizo...  | Kimaro: Kwani Dowans ni ya nani?MBUNGE wa Vunjo (CCM), Aloyce Bent Kimaro anasema kuwa katika zama hizi za uwazi na ukweli ni muhimu taifa likaelezwa kampuni inayomiliki mitambo ya kufua umeme wa dharura ya Dowans ni mali ya nani...  | Tumetoka CHAN lakini wametutambuaIbrahim MkambaFebruari 28, ilikuwa siku ya huzuni kubwa kwetu Watanzania baada ya timu yetu ya Taifa Stars, kutofanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano ya CHAN...
|
|