Machi 11 - 17, 2009
 
Toleo Na. 72
   Maoni ya Mhariri
Hii ni demokrasia inayopanuka
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha uamuzi kuwa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani sasa watakuwa wakipigiwa kura za maoni na kila mwanachama, badala ya utaratibu wa zamani uliokuwa ukiwaruhusu wajumbe wachache kushiriki kupitia mikutano mikuu ya majimbo...
SAKATA LA MITAMBO YA DOWANS
Siri ya Zitto na Ngeleja yavuja

WAKATI hali ya umeme nchini ikiwa bado tete, barua ya siri kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Zitto Kabwe kwenda kwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kuhusiana na sakata la umeme na hali ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), imevuja...
 Makala

Mtaalam: Anguko la uchumi limeanza kututafuna
Tanzania imeanza kuathirika mapema zaidi na anguko la uchumi duniani kuliko ilivyotarajiwa...
 Rai ya Jenerali

Pasipo kujitambua pana kujidharau
Jenerali Ulimwengu
NIMEJADILI umuhimu wa kutengeneza na kuunda vitu, (fabrication) kwa sababu bila kutengeneza vitu uchumi wetu hauwezi kukua...
 Makala

Uteuzi mpya CCM wavuruga wabunge
BAADHI ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wana matumbo joto kutokana na mabadiliko makubwa yaliyofanywa na chama chao ...
 
 
free counter

counters

 
 Makala   Makala   Makala   Makala
Dokezo: Rais amedhalilishwa sakata la Dowans
Godfrey Dilunga
HAKUNA haja kwa Watanzania kusubiri nchi iingie gizani ndipo waamue kama alivyosema Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Dk. Idris Rashid...
Si Ubishi bali ni Kuelimishana
Privatus Karugendo
KUNA mtu amenitumia ujumbe kwenye simu. Alitaka nimpatie jibu. Nafikiri makala hii itakuwa ni jibu kwake na kwa wengine wenye mawazo kama yake...

 

Katika haya yote, yu wapi Kikwete?
Johnson Mbwambo
HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete aliwajia juu viongozi wa zamani wanaoikosoa serikali yake “vijiweni”...
Umasikini unapotumika kama ?mtaji? Tanzania (2)
Nzota Mapande
Nchi wafadhili hazina nia ya kuona Nchi Zinazoendelea zinakuwa tajiri au zinajitegemea kwa kutumia rasilimali zake...
Bunge kushambulia Mahakama: Ni demokrasia au ubabe uliokithiri? (2)
Joseph Mihangwa
SEHEMU ya kwanza ya makala haya toleo lililopita, ilielezea juu ya migongano kati ya mihimili miwili ya dola: Bunge na Mahakama...

 

Tukisema tatizo ni uwezo, wanadhani tunatania!
Lula wa Ndali-Mwananzela
NAOMBA mniruhusu nirudie kile nilichoanza kukisema karibu mwezi mmoja uliopita, nakirudia mara hii nikiamini kuwa ninaeleweka vilivyo...
Ya Dowans, TANESCO na bangi za Taifa Stars
Ayub Rioba
KARIBU kila Mtanzania anajua kwamba uvutaji bangi ni uvunjaji wa sheria za nchi. Ndiyo maana wapo vijana wengi tu walio magerezani leo kutokana na kukutwa na misokoto ya bangi ama wakiiuza au wakivuta...
Kwa nini wanaume wanatunyamazisha na misuli, kwani misuli ni akili?
Hidaya
Nilitarajia utanitakia heri ya siku ya wanawake angalau, lakini kimyaaa!  Au utaanza mambo zako za kudai mwanamume awe na siku yake pia...

 

Ibada mpya Arusha: Waumini huchomwa moto kuunguza dhambi
NI chumba kidogo kilichojaa ndoo za maji, masanduku ya nguo vikiacha nafasi finyu kwa ajili ya kitanda, seti moja ya sofa na meza ndogo...
Serikali yapata kigugumizi
WAKATI bei ya pamba katika soko la dunia ikiendelea kuporomoka, Serikali bado haijakubali au kukataa ombi la Chama cha Wanunuzi wa Pamba (TCA) la kutaka kuingilia kati na kuokoa jahazi ili kunusuru zao hilo nchini...
Ndondi za ridhaa ziko wodini, kwa nini?
Francis Chirwa
SIYO siri kwamba mchezo wa ndondi za ridhaa nchini hauko katika hali nzuri na kinachosikitisha zaidi ni kwamba mchezo huo si tu kwamba umedorora...