Letters

Nani akinusuru Chuo cha Ualimu Korogwe?

NDUGU Mhariri, Sisi ni watumishi wazalendo katika Chuo cha Ualimu Korogwe, mkoani Tanga. Tunasikitishwa na uendeshaji mbovu wa chuo chetu. Uongozi wa juu wa chuo umekuwa dhaifu katika kuchukua uamuzi wa kiutawala ili kulinda hadhi ya chuo hiki kitaifa na kimataifa. Tumejitahidi bila mafanikio kukabili

Kizazi kipya na wasomi wapya

Katika nchi yetu wasomi wengi “hawajisomi” na baadhi yao wamekuwa wakiishi mithili ya wanyama kwa kutotumia elimu yao katika kudadisi mambo.

Wahitimu ubaharia tunanyanyaswa

Kwa muda mrefu sasa, mabaharia tunaohitimu mafunzo katika Chuo cha Ubaharia cha Dar es Salaam (Dar es Salaam Maritime Institute – DMI) tumekuwa tukipata wakati mgumu kupata vyeti vyetu

Lukuvi tatua kero hizi za Mpigachapa Mkuu

Kiwango tunacholipwa ni kidogo kwa mujibu wa waraka wa posho za saa ya ziada za kazi na kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Uhusiano kazini ya mwaka 2004 pamoja na kanuni zake

Mkuu wa Chuo DMI achunguzwe

Pamoja na kuishukuru na kuipongeza Serikali yetu, tunashauri kwamba, kumuhamishia wizarani Shukuru Mkali haitoshi na badala yake, anapaswa kuwajibishwa zaidi kwa kukosa uadilifu na kwa matumizi mabaya ya madaraka yake

Watumishi wa Nanyumbu tunanyonywa posho zetu

Kampeni ya chanjo ya surua, matone ya vitamini A na dawa za minyoo imefanyika lakini kwa mizengwe inayohusisha malipo ya posho zetu. Kwanza, malipo yetu hayakufanyika kwa siku zote tulizofanya kazi