Letters

Miaka 50 ya Uhuru: Muda muafaka kubadilisha bendera

Nathubutu kusema ya kuwa, kwa sasa umefika wakati muafaka wa kubadilisha/kuongeza rangi kwenye bendera ya taifa ili ziendane na hali halisi ya sasa. Pendekezo langu la kwanza ni kutolewa kwa rangi nyeusi.

Mwanza tumechoka

SISI wakazi wa Jiji la Mwanza karibu kila msimu wa mvua tumekuwa waathirika wa mvua hizo. Sababu kubwa ni miundombinu ya kupitisha maji maeneo mbalimbali ya mji kutokuwa katika hali nzuri

Ahadi ya Rais kwangu haijatimia

Niliwahi kupewa ahadi za kusaidiwa kifedha na Rais Jakaya Kikwete, lakini baadhi ya viongozi wamekuwa kikwazo kwangu kutimiziwa hiyo ahadi

Kikwete akaze buti dhidi ya mafisadi papa

Kwa maneno mengine kujivua gamba ni dhamira ya dhati iliyotangazwa na uongozi wa juu wa CCM; hata kama kufanikiwa utekelezaji wake kunachukuliwa kuwa muujiza unaosubiriwa kwa shauku kubwa na wote wenye kuitakia mema Tanzania