Uchaguzi

Kikwete alipitia dirishani, sasa kaamua kulifunga?

Mwandishi Maalum

YANAWEZA kusemwa mengi kuhusu jitihada binafsi anazozifanya Rais Jakaya Kikwete kushupalia Sheria mpya ya Gharama za Uchaguzi.

UCHAGUZI 2010: Yaleyale, mafisadi au kumekucha?

Joseph Mihangwa

MWAKA 2003, Chama cha Kimataifa cha Maendeleo [sid], Tawi la Tanzania, kilichapisha na kutoa kijitabu kidogo cha utabiri juu ya hali ya kisiasa na kiuchumi nchini kuanzia mwaka huo hadi uchaguzi

Wanaonajisi uchaguzi ni wahaini

Jenerali Ulimwengu

WIKI hii naamua kufungua sura mpya katika safu hii nikiwa na nia madhubuti ya kujadili kwa undani masuala yanayohusiana na shughuli kuu ya kisiasa kwa mwaka huu: Uchaguzi mkuu wa rais, wabunge n

Kazi ya mashushushu ni usalama si kuhujumu uchaguzi

Mwandishi Wetu

RAIA Mwema namba 155 la Oktoba 13-19, 2010 liliandika makala iliyokuwa ikiuliza kama mashushu hutumiwa kuhujumu uchaguzi.

Wamejiandikisha wapate kitambulisho, si wapige kura!

Privatus Karugendo

WANANCHI wengi wamejitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Zoezi hili, na hasa Dar es Salaam limesitishwa huku idadi kubwa ya watu ikitaka kuendelea kujiandikisha.

Sheria Kumi Kuu za Uchaguzi Mkuu

Jenerali Ulimwengu

Jumapili, Oktoba 31, tunapokwenda kupiga kura kuwachagua rais, wabunge na madiwani tufanye hivyo kwa kuzingatia sheria kuu kumi zifuatazo:

Sheria ya Gharama za Uchaguzi: Tujipime na uchaguzi huu

John Bwire
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) imekuwa ikiendesha  mafunzo kwa kada mbalimbali za umma nchini yanayohusiana na Sheria ya Gharama za Uchaguzi iliyopitishwa hivi karibuni

Tupige kura tukiitafakari Tanzania yetu

Maggid Mjengwa

UZOEFU ni mwalimu mzuri. Unatufundisha kuwa kuwasha moto ni jambo jepesi sana, lakini, kuuzima moto, yaweza kuwa ni kazi ngumu sana.

Uchaguzi: Tufuate demokrasia au utaratibu ‘tuliojiwekea’?

Chesi Mpilipili

NINAIPENDA sana nchi ya Japan, kwanza kutokana na utengenezaji wake wa bidhaa imara mbalimbali zinazowafanya watengenezaji bidhaa wengine kuzipa majina bidhaa zao yanayofanana fanana na majina ya b

Nini kitakachokupa furaha ya dhati ukimaliza kupiga kura?

Ayub Rioba

KILA ninapowasikiliza wanasiasa mwaka huu ninaduwaa. Ninawasikiliza na kuwatazama katika televisheni wakizungumza ninajiuliza maswali mengi sana.

Pages

Subscribe to Uchaguzi