NINAIPENDA sana nchi ya Japan, kwanza kutokana na utengenezaji wake wa bidhaa imara mbalimbali zinazowafanya watengenezaji bidhaa wengine kuzipa majina bidhaa zao yanayofanana fanana na majina ya b
WAKATI tukielekea kwenye uchaguzi mkuu, ni vizuri wananchi wakawa makini kwa kila jambo wanalolifanya ili kujiepusha kuingia katika matata ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi iliyopitishwa na bunge mwaka huu
HIVI sasa asasi mbalimbali zinafanya juhudi kubwa kutoa elimu ya uraia ili wananchi waweze kushiriki kikamilifu katika chaguzi za Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2010.
KUNA dalili za kuwatumia vijana wetu vibaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kuna sababu nyingi na za msingi zinazowashawishi vijana kujiingiza kichwa kichwa kwenye siasa.
JUMAMOSI ya Machi 30, 2013, Jamhuri ya Kenya ilihitimisha mchakato wa Uchaguzi Mkuu kwa Mahakama Kuu ya nchi hiyo kuhalalisha ushindi wa Uhuru Kenyatta
YAWEZEKANA kwamba bado tutakuwa na tatizo kubwa la rushwa katika serikali ijayo kutokana na kura za maoni za uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini kote kug